Nyooo kafieni mbele huko kwa hiyo mnamtangazia nani ajue mnapendana?
Nyooo kafieni mbele huko kwa hiyo mnamtangazia nani ajue mnapendana?
Makubwa....we romantic eyes huyu ndo mumeo au nimemfananisha?
Tatizo mnatupigia kelele
Tatizo mnatupigia kelele
Pole sana utani mwingine unatia mashaka,ilinitokea kama hiyo tukiwa tunapiga story na wote ni marafiki,baada ya mda natafuta simu kila mtu anadai hajaona, baada ya kutafuta wiki lote mmoja akaniambia "ila flani ndo wa mwisho kushika"nikamtafuta nikamwambia nirudishie simu nahitaji as if najua alichukua,naye hakubisha.inakera sana na hizi simu zina siri kibao,unaweza hata kudhalilika,heri apple hata mtu aibe kama hajui password hata aende kwa fundi haiwezekani heri apasue pasue kuficha ushahidi
jamani kama dk 10 zilizopita ulimwita honey?
Acha nao mpnz wangu! Huyo Heaven Sent kwanza hakufikii kwa uzuri wako mpnz wangu! Ndio maana ka bwana kake kalikua Mara beby Mara kanakuita swty! Kz kweli kweli!
Nyooo kafieni mbele huko kwa hiyo mnamtangazia nani ajue mnapendana?
Nani anamganda Huyo bwana wako? Umemuona Khantwe anashida na bwana eeeeeh?
Shangaa na wewe switie.... Nimelala kifuani kwa ngosha hapa nitoke niende wapi labda