Utamuuliza member yupi na swali lipi iwapo....?

My fav drink ....juice ya pineaple and passion fruits .
I'm always sober so I would have to say without....but then since I have never been intoxicated I can't know for shur.

Ohhh and a question for you Boss....udhaifu wako ni nini? Haijalishi kwenye nyanja gani...chagua tu mmoja!

udhaifu wangu....mhhhh.....swali la mtego hili????....lol
 
Khaaaa da husni c ndio ucku sasa kile kikao chechu cha wanawake venue wapi jaman nishavaa na niko juu ya bodaboda nasubiri jibu dahusni!
 
Hamna mtego bana we jibu....wachumba unaowakuziga wote wako busy saa hizi hawataona!

udhaifu wangu ni kuwa siwezi kuwa 'happy kama wengine' ninapokuwa broke au sina pesa at
the moment ninayo hitaji...nahisi i care more about having money than average people..

nikiwaona watu with less money tha me wako more happy than me huwa nashangaa nawa envy...
 
chit chat oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Watu tunajifunza na kuvutiwa na mengi kutoka kwa members wa jf. inawezekana kuna wawili watatu ungetamani kuwauliza (ma)swali fulani la binafsi ila kwa namna moja au nyingine unashindwa. thread hii ni maalum kwa hilo. kwa mfano ukipewa nafasi ya kumuuliza member yoyote wa jf, ungemchagua member(s) wapi na ungewauliza maswali yapi?.
NB: Haimaanishi huyo member ni lazma ajibu hilo swali ila akiweza anaweza kujibu.
Ni vizuri kufahamu watu wanapenda kujua nini kuhusu wewe( hata kama hutowapa nafasi.
nitarudi baadae kuwauliza watu flani flani maswali.
karibuni mjisikie mpo chit chat, agizeni na vinywaji ila bili mtalipa wenyewe.

Husininyo Nyanga za Log! Loh!
 
Khaaaa da husni c ndio ucku sasa kile kikao chechu cha wanawake venue wapi jaman nishavaa na niko juu ya bodaboda nasubiri jibu dahusni!

hahahahaha! Tufanye sa tatu. Ngoja nitafte venue. Naomba uwataarifu na wanawake wengine.
B2T: Hivi lisia mtambuzi ni baba yako mzazi?
 
Back
Top Bottom