Utamuuliza member yupi na swali lipi iwapo....?

Nauliza Hus... Umeolewa, una mtoto hata km hauishi na baba yake poa tu, una kazi au biashara ooppss nitarudi

ukishindwa kujibu unajifanya kama hujaelewa vile. Dena hebu rudia swali.
Halafu nauliza unaishi wapi nikutembelee.
 
whats your favourite drink?
are you happy when you are sober or with a drink?

My fav drink ....juice ya pineaple and passion fruits .
I'm always sober so I would have to say without....but then since I have never been intoxicated I can't know for shur.

Ohhh and a question for you Boss....udhaifu wako ni nini? Haijalishi kwenye nyanja gani...chagua tu mmoja!
 
mi nitakuuliza kwanini unajiuliza hauko serious?
Unajua umekosea pale kuweka option ya kutokujibu. Lakini kwakuwa wewe ni waifu wa swahiba uporoto nitakujibu PM lakini uje kishemeji shemeji sio ukuje na mikwala, sauti ulegeze legeze kidogo.
 
Unajua umekosea pale kuweka option ya kutokujibu. Lakini kwakuwa wewe ni waifu wa swahiba uporoto nitakujibu PM lakini uje kishemeji shemeji sio ukuje na mikwala, sauti ulegeze legeze kidogo.

we kloro sijakosea. Kuna maswali mengine hayajibiki bana. Lol.
Shemeji mi siji huko mme wangu hapendi.
 
Unajua umekosea pale kuweka option ya kutokujibu. Lakini kwakuwa wewe ni waifu wa swahiba uporoto nitakujibu PM lakini uje kishemeji shemeji sio ukuje na mikwala, sauti ulegeze legeze kidogo.

Yeahh angesema kila aulizwae lazima ajibu....
 
Back
Top Bottom