Utamuuliza member yupi na swali lipi iwapo....?

udhaifu wangu ni kuwa siwezi kuwa 'happy kama wengine' ninapokuwa broke au sina pesa at
the moment ninayo hitaji...nahisi i care more about having money than average people..

nikiwaona watu with less money tha me wako more happy than me huwa nashangaa nawa envy...

Nice...thank you Boss!!
Na hongera kwa kujitambua!!!
Hali kama hiyo inaweza kutokana na priority zako pia mtazamo wako wa maisha....
 
hahahahaha! Tufanye sa tatu. Ngoja nitafte venue. Naomba uwataarifu na wanawake wengine.
B2T: Hivi lisia mtambuzi ni baba yako mzazi?

Ok ok da husni ngoja niwapm wanawake wote tz,du hili swali lako lingine bwana,ok jibu ni hv mtambuzi ni baba yangu wa hiari jf na c baba yangu mzazi,Asa da husni uporoto ndio shem wetu wa ukweli au coz mie mgeni ckushuhudia haruc lol!
 
Back
Top Bottom