Utamuuliza member yupi na swali lipi iwapo....?

Ok ok da husni ngoja niwapm wanawake wote tz,du hili swali lako lingine bwana,ok jibu ni hv mtambuzi ni baba yangu wa hiari jf na c baba yangu mzazi,Asa da husni uporoto ndio shem wetu wa ukweli au coz mie mgeni ckushuhudia haruc lol!

hehehehehe! Hilo la uporoto. Mmmmh! Ngoja aje. Lol.
 
hehehehehe! Hilo la uporoto. Mmmmh! Ngoja aje. Lol.

Khaaaa!da husni nikajua utajiexprec ur self anyway namsubiri,Asa nina swali ila naogapa kuuliza coz mhusika avatara yake inanitisha naimajin huyo mwenyewe itakuwaje lol!
 
Ningekuuliza ulikuwa unafikiria nini mpaka ukaamua kuanzisha huu uzi? Kuna Member umevutiwa nae ungetaka kumuuliza swali binafsi lakini unashindwa uanze vipi?
 
Unaulizwa wewe halaf jibu atoe uporoto? heheeh mleta sredi bana ,naona imeanza kukugeukia lol

Umeona eee,ndio maana aliweka ile option ya kua co lzm mhusika ajibu yan kanipotezea hivi hivi,ila ww ni shem wake hope unaweza kunambia chochote kuhusu hili,tafadhali bwana lawyer wa jf nijibu lol!
 
Back
Top Bottom