ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,661
- 131,206
Hutajuta, halafu uzee wangu maini yapo intact 😅😅Hebu niache sitaki wazee😅
Hutajuta, halafu uzee wangu maini yapo intact 😅😅Hebu niache sitaki wazee😅
Kwa vile hadi sasa hakuna mtu amekujibu, nitajibu kwa lugha rahisi.Hii IVF ni nn mkuu em share km inawezkn,
😂😂 Dah watu mnajikumbuka siku hzHapana sie mimi, nimemkumbuka pia boss wangu japo namuona sana whatsapp naona tiktok imemteka kaisahau jf,
@Culture Me
Sijaona part ya mnyanduano wenyewe, au wengine mnafikishana kwa minyonyano tu?[emoji848]
Umeielezea vizuri sana IVF, je na wewe uliamua kupata watoto kwa njia ya IVF ili mkeo asiharibike K, maana ishu ya kutanuka K kwenye kuzaa naona unaisisitiza sanaKwa vile hadi sasa hakuna mtu amekujibu, nitajibu kwa lugha rahisi.
IVF ni Kitendo cha kutunga mimba katika Maabara kisha kuitumbukiza katika mwili wa mwanamke yeyote aliyeandaliwa kupokea huo muunganiko katika tumbo la uzazi.
Nina maana yai la mwanamke na sperm za mwanaume zinakutana nje ya K.
Hapo anayepokea huo muunganiko anaweza kuwa ni mwenye hilo yai au mwanamke baki ambaye hahusiki na hilo yai. Ikitokea hiyo inaitwa surogacy na mwanamke anaitwa surrogate mother. Hata sperm zinaweza kuwa za mume au mtu yeyote kwa kujitolea au kuuza.
Uhindini hii ni Ajira, zamani walitusaidia ila baada ya kaka zake na Mariposa kujimwambafai sana huko, ikatungwa sharia kuwa surrogate kama ni Mhindi lazima Mteja awe Mhindi si vinginevyo. Hapo tukaanza kwenda na wamatumbi wenzetu ili watuBebee hao malaika wetu.
Faida ya njia hii, unachagua ni matakwa yako uwe na mtoto chotara au mtindiga mwenzako. Na unaweza kuchagua jinsi iitakayo kwa kusitisha mimba ambayo si ya jinsi uipendayo.
Aidha kwa kawaida mtoto anafuatiliwa ukuaji wake stage by stage, akionekana kasoro yoyote, wanaitoa ili asije kusumbua hapo badaye.
Sheria ya kujifungua huwa ni kwa operation kwa vile surrogate hana alicho nacho biologically kwa kiumbe kilichopo tumboni kwake, anaweza kutokufanya kitu ambacho kipo katika uwezo wake kama kusukuma.
Kila kitu kina faida na hasara, ila faida yake kuu haiharibu K ya mwanamke. Ndiyo maana Dr. Mariposa
Anatamba kuwa yeye bado bikira pamoja na kuitwa mama.
Niishie hapa ila
Aione Euphra
😂😂😂😂 unaamkiaje online bila morning glory bhana, we mtu mzito huezi kukosa mtoto mbichi pembeniUmepata morning glory ama umeamkia online kama mimi
Weeeee si mbaya kujikumbuka lakini,😂😂 Dah watu mnajikumbuka siku hz
Niliogopa kuanza kusingiziana kuwa nina kibamia wakati kabla ya kutotoa anakuwa anasifia kuwa inafika angle zote.Umeielezea vizuri sana IVF, je na wewe uliamua kupata watoto kwa njia ya IVF ili mkeo asiharibike K, maana ishu ya kutanuka K kwenye kuzaa naona unaisisitiza sana
Okay so mkeo alijifungua kwa C-section sio kama mlipata mimba kwa IVFNiliogopa kuanza kusingiziana kuwa nina kibamia wakati kabla ya kutotoa anakuwa anasifia kuwa inafika angle zote.
Pili Usalama wa mtoto, maana Siku hizi, manesi wanaitwa, wao wakati wanadai bado, wakati mtoto anabugia maji ya uchungu, au madhara ya kichwa kupitia katika K etc. Na mtoto hachoki.
Muhimu kutenganisha operation ya mtoto kama imeshindikana kutoka na hii ninayozungumzia. Ambapo ni pale mtoto anakuwa tayari kuzaliwa, haraka anatolewa chap.
Naona hunielewi wewe C-section na IVF ni vitu viwili tofauti. Kwa taarifa yako nilifanyia IVF uhindini miaka 10 iliyopitaOkay so mkeo alijifungua kwa C-section sio kama mlipata mimba kwa IVF
Mbona kama unanisuta jamani!!!😂😂Naona hunielewi wewe C-section na IVF ni vitu viwili tofauti. Kwa taarifa yako nilifanyia IVF uhindini miaka 10 iliyopita
Soma vizuri utanielewa. Nilifanya IVF nikaonesha procedure zake.Mbona kama unanisuta jamani!!!😂😂
Hapo juu kidogo umeelezea kuhusu mkeo kuzaa kwa operation na juu zaidi umesema ulifanya IVF,
Swali langu lilikua kwanini mlifanya IVF? wewe ukanijibu kuhusu C-section,
Nimetaka kujua sababu ya nyie kufanya IVF ni nini? kwa C-section umesema hujataka mkeo aharibike K yake kwa kuzaa kawaida
Ok gharama zake zinakuwajr mzee 🤔Naona hunielewi wewe C-section na IVF ni vitu viwili tofauti. Kwa taarifa yako nilifanyia IVF uhindini miaka 10 iliyopita
😂😂siku hizi hawanitaki tena! Ila nina kabiashara hapa😂😂😂😂 unaamkiaje online bila morning glory bhana, we mtu mzito huezi kukosa mtoto mbichi pembeni