Utamu wa mwanamke ni upi?

Yaani mfano mzuri mwangalie Bill Clinton na Monica, ingawa mke wake pia alikuwa mzuri na kila kitu
Lakini jamaa akachepuka
Usimlazimishe akupende kwa kumpa kila kitu kwani huyo sio mtumwa wako
Subiri ukipendwa na muuza mboga huyo huyo ndio umgande maana ndio litakuwa pendo la kweli kwenu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ina maana una vyote hivyo?


Wadanganye wajinga
 

Kwa lugha nyingine wewe ndo umemuoa huyo mwanaume. Maana mpaka unamuwezesha hela, umemnunulia gari. Haki ya nani. dunia simama nishuke
 
Kama ni hawa uzao wa Adam.. Hata uwape vyote hivyo na ziada ya matundu yote saba... Bado hawatariridhika.... Kumbuka mfalme Suleiman alibarikiwa hekima na utajiri na wake wa ndoa 300 lakini bado akaongeza masuria 3000....

Jr
He he! Kumbe,ndo maana yalikushinda uu nzao ya Adam au yeye.? 😂😂😂😂😂
Jaribu kurusha vitunguli mixer bima za afya aka h i r i z i
 
atajwe huyo kiumbe aliepewa yote hayo hlf haoni utamu wako! Mtaje..
 
So you want to fight nature ooo....!! In Nigerian voice
 
Man wants changes with ages. You need personal research to these changes to maintain compartibility.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…