

Hapana huyo Jamaa amekosea kufumaniwaMnaona sifa sana kuwa na pepo la uzinzi?
Sikia wenzi wetu tuna wapenda sana ila virukanjia na milupo tuna tamaniSifa za upendo ni zipi?
Nikiweka sura Yangu utajuaje kuwa sidanganyi?



mbona hujiaminiKama amekupa zawadi ya mtoto sema na itoshe. Gari ni tool of work...sio status ya aliyenunuaShepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.
hii ulisoma wapi mkuru maana naona chai kibao, wake 300, badala ya700, masuria 3000 badala ya300, unamaanisha jumla alikuw na wanawake 3300 wakati alikuwa na 1000 tu!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo konyagiAsante kwa tangazoKuna Suleiman wengi, huenda anamuongelea Suleiman yule mfalme wa kushona viatu Tanzania nzima anashonea pale Maryland Mwenge
Hukumu ipiSiku ya hukumu ndo mtajua ,,nyie fikirini ni sifa
Hata nyie kwa udanganyifu wenu hukumu yawangojaSiku ya hukumu ndo mtajua ,,nyie fikirini ni sifa
Dada asikudanganye mtu,asili yetu n kutaman tu,hata uwe na msambwanda vp au ukamilike au uwe mzur wa aina yoyote ile kuchepuka n lazma,ila vzur upate anaejua kuchepuka kwa siri ili usiumie moyo,wew mwenyewe ukifuga kuku au ng'ombe utanunua dume moja ila majike weng,hlo dume litawapitia wooote,binadam pia ndo tulivyo dada[/QUOTE
noma sana
Shepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa?
Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke?
Ni utamu gani hasa mnaoutaka?
Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.