Utamu wa mwanamke ni upi?

Asante sana, ila bado najiuliza, kilichomfanya aende chumbani kwa house girl wa jirani hadi anafumaniwa Huko na kupelekwa Polisi ni nini? Mbona wadada wazuri wapo wengi sana, kwanini Ali risk kuingia nyumbani kwa watu?

Mshenzi tu huyo,lol, as I said 'uma.laya' kuna watu wako hivyo, hao wakiona any 'chance' ya kupata 'nyapu' wataitumia vilivyo ,sio tu kuingia nyumba ya jirani bali chunguza hata housegirl hapo ndani kwako kama hajampitia ...mnhh pole kwa fedhea but mwache aende,atakusumbua sana huyo...
 
Kuna wengine ni ugonjwa... Kuanzia mabeki 3 mpaka wahudumu

Jr
 
Mwanamke hana utamu Bali ana utelezi tu,utamu anao mwanaume mwenyewe
 
Mkuu mawazo ya kuambiwa changanya na yako!!
Mbona Barack Obama amekuwa maarufu na Raisi wa USA lakini bado wakawa wanaheshimiana na Mkewe???
Hapa tunachokitazama zaidi ni hali ya mtu kujiheshimu.Na kwa taarifa ya hawa wanaochangia hapa wakisema wanaume wana tamaa,Ooh sijui atakuwa anaumwa,Msinichanganye na mimi/sisi kwa maana bado tupo.
Na pia kinachotazamiwa hapa zaidi ni foundation/Msingi wa mtu tangu alipokuwa kwa wazazi wake
SITAKI POVU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena wanaume tulivo,tukipewa pesa nyingi ndo wazo na katabia kakuchepuka kanaanza,ni bora usimpe hela
 
Reactions: mij
Kuna vitu, kama mwanamke mwingine yeyote utakuwa huna. Mungu hakupi vyote. Atakuwa anavipata huko kwingine. Labda we mrefu anataka mfupi. Labda we mweupe anataka mweusi. Au we mkimya anataka muongeaji? Yeye yake anajua ni kitu gani.

Hilo ni moja. La pili marudio tu. Ni asili ya mwanaume kufanya hivyo hata kama hakuna kitu anakosa kwa mkewe.

Pia usisahau kitu kimoja japo wengi hawaelewi. Mwanaume kutoka nje si kwamba hampendi mkewe! Wakati mwingine unatoka, unakutana na vitu vya ajabu na kujiuliza hii shida yote ya nini?

Kesho kutwa, unaanza tena.
 
Usipoteze muda. Wanaume hatuwezi ridhika na kei moja, hata ukituona tumetulia nawe jua tu kuwa tumekuzidi akili ila hauko peke yako. Kei hata iwe tamu vipi ila mwanaume rijari hatoridhika nayo pekee.
 
Kwani uliambiwa mwanaume anachepuka kwa sababu mkewe sio Mtamu?Tatizo humkeep Busy,Mpe papuchi mara nne hadi 6 kwa wiki,Oga Vizuri,Lala Uchi,Dai vya asubuhi na vya jikoni.Hasa cha Asubuhi huwa kinamfanya awe na uchache wa genye.Hata hivo hio sio garantee kwamba hatachepuka ila angalau hutakuwa mpweke na kuanza kumfuatilia ili ujue anachepuka ana nani
 
Vyote hivyo ni utamu ila kila kimoja kina wakati wake.

Since hakuna ke mwenye vyote hivyo, haishangazi kuona why always men needs more


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwel ni huu dada angu.....sisi wanaume tuna nguv mbili ndan yetu,kupenda na kutaman,ila nguv ya kutaman imezid kupenda,so naweza nkakupenda saaana ila na bado nikamsarandia hausigel tena ambae hata perfume haijui..tamaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana, ila bado najiuliza, kilichomfanya aende chumbani kwa house girl wa jirani hadi anafumaniwa Huko na kupelekwa Polisi ni nini? Mbona wadada wazuri wapo wengi sana, kwanini Ali risk kuingia nyumbani kwa watu?
Pole sana mamy
 
Utamu wa mwanamke upo kila mahali kuanzia unyayoni mpaka kwenye utosi wake sasa suala la kuchepuka halina ubishi iweje kila siku uwe unakula maharage kila siku lazima ubadili mboga bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekumiss Babe, nahitaji nyumba prime area.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…