Utamtambuaje kama ni rijali?

Utamtambuaje kama ni rijali?

bi'mdogo, somo laonekana zuri ila maudhui yake "yamejificha". Ni ngumu kukuelewa ulimaanisha nini hapa!! lifanyie marekebisho tafadhali, walengwa wakuelewe!!
 
Mimi husema siku zote hili jukwaa ni pasua kichwa na ugonjwa wa moyo.

Hivi nani kaelewa mleta mada anataka kuelewesha nini? mimi nimesoma mara tatu naona naumia kichwa lakini ujumbe sijauelewa, au mna lugha zenu za kiza huku MMU?
 
kwangu mimi.
not anymore
i have been through that road before, nikasema its not my thing. nikajipa so many excuses kupenda ili tu nisiumie moyo.... Nature has its own ways to show u how things should be.
 
ladyfurahia, hebu pata picha, umepata jibwana huku MMU, halafu mnajikuta mmesha kutanisha vikojoleo vyenu, halafu kesho yake unakuta post MMU, inasema UTAMU WA MPWECHELO WA ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh...ngja nisome tena labda ntapata cocncept...maana mefika ad mwsho patupu..
Ofcoz namsomea wa uban maana yy hawez kuingia na mchina wake umu
 
maelezo yanaendana sana kichwa chake sema wewe hujaelewa kabisa
omba kueleweshwa

ila daddy unajuaje kuwa mwanao kuwa ni pasua kichwa
Maelezo marefu lakini maudhui ya mada hayasadifu kichwa cha habari...

In short upo off point...
 
nimeweka kimafumbo mwenye kuweza kufumbua fumbo ndo ataelewa
maana mmezoea kila siku kumegewa leo tumieni akili sio mmegewe
bi'mdogo, somo laonekana zuri ila maudhui yake "yamejificha". Ni ngumu kukuelewa ulimaanisha nini hapa!! lifanyie marekebisho tafadhali, walengwa wakuelewe!!
 
best haya maelezo yamekaa katika mfumo wa lugha ya KIMAFUMBO hivyo mwambie eli49 akufumbulie fumbo hilo
Mimi husema siku zote hili jukwaa ni pasua kichwa na ugonjwa wa moyo.

Hivi nani kaelewa mleta mada anataka kuelewesha nini? mimi nimesoma mara tatu naona naumia kichwa lakini ujumbe sijauelewa, au mna lugha zenu za kiza huku MMU?
 
Mimi husema siku zote hili jukwaa ni pasua kichwa na ugonjwa wa moyo.

Hivi nani kaelewa mleta mada anataka kuelewesha nini? mimi nimesoma mara tatu naona naumia kichwa lakini ujumbe sijauelewa, au mna lugha zenu za kiza huku MMU?
Wewe huku unafuata nini? Hujaolewa weye? Ehh!!

The king.
 
Back
Top Bottom