INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,266
Habarini Mabibi na Mabwana
Awali ya yote ndo nimejongea tena kwenye fani yangu ya KUWAFUNDA/KUWAPA SOMO
murua ambalo litakufanya uwe mdadisi, m TAFiti , na mchambuzi wa mambo na vilevile
kupata ufahamu mpya ambao utakutoa sehemu ulipo na kukupeleka sehemu ingine.
SOMO MAHUSUSI KWA WADADA
Leo somo hili linabase kwetu sisi namna ya kutambua, kumjua mwenzi wako kiuhalisia
wakati wa mwanzo wa mahusiano yenu baina yenu mnakuwa watu wenye furaha na
mihemkko / bashasha za kimapenzi wala huwezi jua mwenzio yuko kamili au si kamili
na vilevile inapelekea hata ukiambiwa na watu kuwa huyo uliyenaye hayuko kamili huko
wewe unaona kama wanakuizingua na kukuondolea ndege wako kumbe wanakusaidia tu
pindi ukifunga naye ndoa tu ndo unajua matatizo ya mwandani wako , na hapo unaanza
kujuta na wakati ulishapewa taarifa mapema ili uweze kujitenga naye.
HATUA ZA KUFANYA WAKATI WA MWANZO WA MAHUSIANO
Wakati mko kwenye hot love ni vyema ukaanza kumsoma mwandani wako huyu yeye
hajui ni kitu gani unamsoma, kwa kufanya ishara ambazo wewe utajua kuwa anapanda
au hapandi mizinga bila kugusia chochote kwenye miili yenu kwani kufanya hivyo nje ya
ndoa ni dhambi mpaka ndoa ndo ufanye tendo hilo.
Vile vile kuwa makini na wanaume ambao nyuma wamepigwa kitambaa kwani mbele wana
kuwa wamekandikwa kama maandazi yanavyoimuliwa, usipende kuwa na mahusiano na
wanaume wa dizaini hiyo shostito kwani watakufanya uhemeheme bila sababu yoyote.
watakuletea magonjwa maana wengine si wasafi wa huko chini wanachojua wao ni usafi
wa uso lakini huko chini ogopa na wengine kufua nguo za nkati inakuwa ni mbinde mpaka Nov.
Bestito Ogopa sana wanaume vimbaumbau wana high speed watakufanya uwe mgonjwa
kila mara wakati mzigo umeshakamilika. kuwa makini nao uwe mtu mwenye busara siku za
mwanzo usipende kutoa mwili wako hovyohovyo kwa hao watu hawana shukrani kabisa
badala yake watakutupilia mbali na kusema haaa!! nilisham:frusty: kuwa makini bestito
wewe ni mwanamke wa muhimu sana na unapendeza ulivyo jipende, jitunze
na jiheshimu utakapojiheshimu utaheshimiwa
Nawapenda
cc: Mamndenyi, Kongosho, mwaJ, mwallu, Heaven on Earth, Lady doctor, Passion Lady, snowhite, Eveln salt, gfsonwin, The secretary, Bujibuji, Mtambuzi (ingawa utaki kunilike), Erickb52, Excel, Kaizer, mshana jr, C6 na
na marafiki zangu wote karibuni hapa tushare hili somo
NB: Naomba sitaki mihemko ya kiutani hapa tunaelimishimana na kufundishana
kama kuna niliowaboa samahani
Wenu,
Ladyf
mimi ni mwanaume ilasijakuelewa yaan sijaelewa ujumbe ulio katika maandishi yako..samahani pia