Utamtambuaje kama ni rijali?

Utamtambuaje kama ni rijali?

Mmmnh... Utafanya vijana waliopigwa pasi wakose wachuchu..!
 
Urijali haupimwi kwa macho wewe vua kyupi ndio utajua kama ni rijali au rojorojo
 
njoo huku pembeni nikuelweshe Mr Rocky

Kweli nakuja pembeni huko unieleweshe kwa praktiko kabisa maana naona nimefungwa thielewi

hii sredi haitaki watu waelewe. missyu.
Miss you too na kweli hapa ni mwendo wa division 10

unakamata fursa!!! loh

Umeona eehh ghafla nishapata zali sijui nani aliniambia nije huku

Nimekumiss pia, mambo ni aje?

Mambo poa aise naona siredi ngumu nimepata division 10 hapa
 
Back
Top Bottom