Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
kipande cha glass iliyovunjika
omg.............
kipande cha glass iliyovunjika
Binti yangu Ladyfurahia em nip ufafanuzi vizuri hapo.Habarini Mabibi na Mabwana Awali ya yote ndo nimejongea tena kwenye fani yangu ya KUWAFUNDA/KUWAPA SOMO murua ambalo litakufanya uwe mdadisi, m TAFiti , na mchambuzi wa mambo na vilevile kupata ufahamu mpya ambao utakutoa sehemu ulipo na kukupeleka sehemu ingine.
SOMO MAHUSUSI KWA WADADA Leo somo hili linabase kwetu sisi namna ya kutambua, kumjua mwenzi wako kiuhalisia wakati wa mwanzo wa mahusiano yenu baina yenu mnakuwa watu wenye furaha namihemkko / bashasha za kimapenzi wala huwezi jua mwenzio yuko kamili au si kamilina vilevile inapelekea hata ukiambiwa na watu kuwa huyo uliyenaye hayuko kamili hukowewe unaona kama wanakuizingua na kukuondolea ndege wako kumbe wanakusaidia tupindi ukifunga naye ndoa tu ndo unajua matatizo ya mwandani wako , na hapo unaanzakujuta na wakati ulishapewa taarifa mapema ili uweze kujitenga naye.
HATUA ZA KUFANYA WAKATI WA MWANZO WA MAHUSIANO Wakati mko kwenye hot love ni vyema ukaanza kumsoma mwandani wako huyu yeyehajui ni kitu gani unamsoma, kwa kufanya ishara ambazo wewe utajua kuwa anapandaau hapandi mizinga bila kugusia chochote kwenye miili yenu kwani kufanya hivyo nje yandoa ni dhambi mpaka ndoa ndo ufanye tendo hilo.
Vile vile kuwa makini na wanaume ambao nyuma wamepigwa kitambaa kwani mbele wanakuwa wamekandikwa kama maandazi yanavyoimuliwa, usipende kuwa na mahusiano nawanaume wa dizaini hiyo shostito kwani watakufanya uhemeheme bila sababu yoyote.
watakuletea magonjwa maana wengine si wasafi wa huko chini wanachojua wao ni usafiwa uso lakini huko chini ogopa na wengine kufua nguo za nkati inakuwa ni mbinde mpaka Nov.
Bestito Ogopa sana wanaume vimbaumbau wana high speed watakufanya uwe mgonjwa kila mara wakati mzigo umeshakamilika.
Kuwa makini nao uwe mtu mwenye busara siku zamwanzo usipende kutoa mwili wako hovyohovyo kwa hao watu hawana shukrani kabisa badala yake watakutupilia mbali na kusema haaa!! nilisham kuwa makini bestitowewe ni mwanamke wa muhimu sana na unapendeza ulivyo jipende, jitunzena jiheshimu utakapojiheshimu utaheshimiwa Nawapendacc: Mamndenyi, Kongosho, mwaJ, mwallu, Heaven on Earth, Lady doctor, Passion Lady, snowhite, Eveln salt, gfsonwin, The secretary, Bujibuji, Mtambuzi (ingawa utaki kunilike), Erickb52, Excel, Kaizer, mshana jr, C6 nana marafiki zangu wote karibuni hapa tushare hili somo
NB: Naomba sitaki mihemko ya kiutani hapa tunaelimishimana na kufundishanakama kuna niliowaboa samahani
Wenu,
Ladyf
usikate tamaa utapata wa kufanana nawe
Ila wewee duuh..sina hamu nawe kabisaa..
nothing ladyfurahia..halafu uwe unazilainisha jumbe zako bana ...zikiwa ngumu inatupa shida kidogo kuelewa
niffanulie hapo kungwi ladyfurahia....
Ladyfurahia wengine sisi wazito kweli kuelewa, shule hamna tunafanya udalali tu huku mjini. umetumia maneno magumu mengi, nimerudia mpaka kichwa kimeniuma.
Binti yangu Ladyfurahia em nip ufafanuzi vizuri hapo.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Majambo mazuri ndo yepi?Itabidi shababi mmoja atujie na thread ya namna ya kumjua mdada mwenye majambo mazuri.. 🙂 😀
Ussijali rafiki ngoja nikufafanulie kidogo
Nilikuwa nawapa somo wadada wenzangu ambao wao wanaona fahari kuwa na mtu ambaye hajishughulishi, na wengine wanaona wale ambao wako flesh ndo bomba kumbe hawajaingia ndani na kuona matatizo ya hao watu.
kinngine nilikuwa nawafunda wale ambao wanapenda kujitolea wakati bado haujafika wakati wa kujitolea bado haujafika yaani wanajipelekesha kwa hao ambao ni bazazi bila hata kukaribishwa, na mwishoe wanakuja kujuta na kulia wakati wameshachezewa hawaonekani na uthamani wowote sijui hapa umeshanielewa au la?
Kwa bahati mbaya siwezi kuyataja hapa. Labda nikwambie kwa pembeni.Majambo mazuri ndo yepi?
omg.............
Ooh thenk yu. unajua kirefu chake lakini.
duuuuh!!cousin mi mwenzio nimestaafu
mahabati kwa muda aiseee!!