Utamsaidiaje Huyu????

Utamsaidiaje Huyu????

Hapo huyo jamaa akiwanyea hao mamba watadhani jamaa ndiyo ameanguka, hivyo watazama majini kulitafuta Jivi. Hapo ndipo jamaa atarukia majini na ataogelea na kutokea upande wa pili.

Anyway, ngoja nimpigie simu kama hajui kuogelea nitampelekea Helcopter yangu ikamuondoe eneo la tukio.
 
...kama vipi nachanachana hiyo picha kupoteza ushahidi...
 
Yaani sikutegemea kama na wewe ungeliona hili.
I think hiyo ndiyo maana halisi ya hii picha.

Hadi nimeshake,
Ikifikia situation kama hii ndipo watu wanapoamua kukatisha uhai wao.
 
saudari my ticha nipe basi na veri gudi jamani si nimepatia mtihani?
Yaani sikutegemea kama na wewe ungeliona hili.
I think hiyo ndiyo maana halisi ya hii picha.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo staili kama kifo cha CCM elfu mbili na kumi na tano
 
Hapo ndio unasikia kwa uwezo wa kibinadamu unakuwa umefika mwisho, lakini kwa uwezo wa Kimungu hakuna lisilowezekana, muujiza wa Mungu pekee waweza kumnusuru kutoka hapo alipo, jibu ni kujikabidhi kwa Mungu ili apate kutenda kadri ya mapenzi yake.

Kuna mwandishi mmoja wa kitabu kiitwacho stop worrying and start living katika moja ya andiko lake katika tafsiri ya kiswahili isiyo rasmi anasema "Mungu nijalie hekima ya kuweza kuelewa mambo ambayo naweza kuyabadilisha na yale ambayo siwezi, na unijalie kujua tofauti kati ya mambo hayo".(mwisho wa nukuu).

Mtu ukiwa katika hali kama hiyo huna budi kukubaliana na usemi huo na kumwachia Mungu nafasi yake maana kwa uweza wa kibinadamu inakuwa ngumu sana.
 
Hapo inabidi kupambana na nyoka, ndiye weak opponent...


haswaaaaaaaaaa..........ni kupambana mpaka mwisho!!! Dunia mapambano! kaima Dr Remmy!!! anashika nyoka kwa kumlia timing amtupe kule ndani ya maji......shida ni huo mti nao anytime unakatika.....dah! atafute tawi lenye unafuu!!!
 
Back
Top Bottom