Dada yangu hiyo kali sana tena sana yaani ulale huyo nyoka umeshapishana naye aua bado, huyo Mamba umeshatumbukia mtoni aua bado mpaka ukalale kuziba shingo
Hizo hadithi Mama tulihadithiwaga ukijifanya kuzirai bila kutoa pumzi eti umekufa Simba hakuli eti anakunong'oneza
Ngoma kabiliana na nyoka kwanza tishiana nae na vunja tawi mtandike hasa au mtie kabali maana ni rahisi sana
kujirudisha tawini na kuvua shati na kumrushia nyoka na kumkaba saudari hilo tawi km halitaanguka na mti ntamwambia jamaa acheze na kipisi cha mti wa tawi kumuingizia mamba au Simba
mdomoni na mangumi kwa sana na wote watasambaratika huo ndio ushujaa wanasema pamabana na Kifo kabla