Utamsaidiaje Huyu????

Utamsaidiaje Huyu????

Hapo idea ya kumkamata nyoka na kumtupa majini ni sahihi ilapurukushani zinaweza sababisha mti kuvunyika pia
kwa hiyo bado ni ngumu sana hiyo
 
Hapo amkamate nyoka ampige pige kichwani apandishe sumu halafu amrushie simba simba an'gatwe afe yeye ashuke
aondoke zake ahahahah
chezea akili wewe
 
Hapo tawi likikatika simba na mamba watakimbia kwa mshtuko, huo muda ndio atumie kujiokoa.
 
hata usipoikabidhisha atajikabidhi mwenyewe muumba kwa hali ilivyo ni muujiza tu unahitajika hapo.kumbe una huruma eeh

Hana huruma hata chembe, hapo anajidai tu.
 
maneno kutoka mepesiiiiiiiiiiiiiiii vitendo sasa ndo shughuli pevu,usiombe ndugu yangu!

Hii si sifa...ifuatayo ni listy a wanyama nilio waua shambani kwangu baada ya kuingiliwa: Sungura, Panya, chatu, koboko, kifutu, fisi, kenge, na mnyama fulani wa ajabu ila jina silijuwi. Nyoka naua sana haswa wakati wa mavuno pale Kibaha. Mimi nyoka ndiyo siogopi kabisa kwani nina elimu nao hata baadhi ya wanyama pia. Fisi aliniingilia uwani usiku baada ya kusikia harufu ya kuku wa kuchoma. Nilimvizia na kumpiga mshale wa tumbo alipogeuka nikampa mwingine wa usoni karibu na jicho. Alipoanguka kwa kusikia kizunguzungu ndipo nilipommaliza na gobole ambalo mlinzi alichelewa kuniletea. Hapa ni jeshi la mtu mmoja ndugu yangu, siogopi nasubiri simba Kidawa tu aje.
 
Mkuu saudari hapo hakuna namna zaidi ya kuomba msaada wa mungu!
 
Last edited by a moderator:
Halafu hivi huyo jamaa wakati anaanza kuukata huo mti, alitegemea utaangua upande upi?
Kwa haraka naona kulikuwa na kila dalili za mti kuangukia majini na huko tayari ndio makazi ya mamba...
Mwache aliwe tu kwa kuwa hakufikiria kabla...
Ni kweli mkuu,akili za jamaa zinafanana na zile za ABNUASI!
 
huyu jamaa alikuwa anakata mti, ghafla bin vuu! simba akatokea ikabidi aupande mti aliokuwa anaukata. Akiwa anafikiria kimkwepa simba yule akashangaa jinyoka likubwa linamsogelea, huku akijishauri kujitupa kwenye maji akashangaa mijimamba nayo imetokelezea!!!!

Hivyo ndivyo nilivyoweza kuitafsiri hiyo picha.
mh!mitihani ya mungu!
 
Daaaaaaaaaahhh kumbe we ni noma aisee hasa hapo kwenye chatu em nipe tekniki za kudeal nae maanake sitakagi hata kumuwaza huyo hayawani kwamba nimekutana naye.
Hii si sifa...ifuatayo ni listy a wanyama nilio waua shambani kwangu baada ya kuingiliwa: Sungura, Panya, chatu, koboko, kifutu, fisi, kenge, na mnyama fulani wa ajabu ila jina silijuwi. Nyoka naua sana haswa wakati wa mavuno pale Kibaha. Mimi nyoka ndiyo siogopi kabisa kwani nina elimu nao hata baadhi ya wanyama pia. Fisi aliniingilia uwani usiku baada ya kusikia harufu ya kuku wa kuchoma. Nilimvizia na kumpiga mshale wa tumbo alipogeuka nikampa mwingine wa usoni karibu na jicho. Alipoanguka kwa kusikia kizunguzungu ndipo nilipommaliza na gobole ambalo mlinzi alichelewa kuniletea. Hapa ni jeshi la mtu mmoja ndugu yangu, siogopi nasubiri simba Kidawa tu aje.
 
Daaaaaaaaaahhh kumbe we ni noma aisee hasa hapo kwenye chatu em nipe tekniki za kudeal nae maanake sitakagi hata kumuwaza huyo hayawani kwamba nimekutana naye.

Mkuu Blue G sikia mwenzangu, chatu si nyoka wa kumwogopa hata siku moja kwani ni mjinga ukijuwa mbinu zake. Kwanza hana sumu, yeye huvizia mnyama au binadamu then anamkunja ili amvunje mifupa na kummeza. Usipende kusikia maneno ya watu dhidi ya chatu kwani chatu hawezi kummeza mtu mzima hata siku moja, mtu mzima nikimaanisha mtu wa futi 5'0 na kilo 75, this is too much for chatu. Hapa Afrika hatuna chatu wa kuweza meza watu wazima, chatu wa namna hii wako bara la Asia, kwa hapa Tanzania na Afrika tuna chatu wa aina mbili tu ambao ni rock python (huyu ndiye mkubwa zaidi na wanapatikana sana huko Lake Manyara, Mwanza, Tabora, Kigoma, na mapori makubwa hapa Tanzania) na hawa chatu wa Kibaha wanaopatikana kila kona ya hapa Tanzania. Sikufundishi kuua chatu, ila usiwe mwoga kwao kwani wao huogopa binadamu sana. Nyoka wa kuogopa hapa ni Koboko kwani hawa ndiyo nyoka wenye akili zaidi na wana sumu kali ile mbaya. Watanzania wanasema kwa koboko kukugonga eti mpaka asimame then aanakudunga kichwani. This is bullshit, koboko hachaguwi pa kugonga, yeye anaonga sehemu yeyote ile na sumu yake inashambulia nerves systems za aliyegongwa hivyo unakufa si chini ya nusu saa kama hutopata matibabu upesi. Fimbo tu, ndiyo dawa halisi ya koboko au tuseme kila nyoka mjanja. Kuna cha kufanya hapa ila kuandika naona nitachukua nafasi na nimeanza kuchoka kuandika. Pia kumbuka unaweza kuishi na nyoka ndani ya nyumba bila hata wewe mwenyewe kujuwa, yeye atakuwa anakuepuka kila wakati kwani anakuwa anajificha ili usimuue ila siku ya siku mkikutana face to face ndipo anakudhuru kuhofia maisha yake. Usisikilize sana masuala ya kijiweni juu ya nyoka na desturi zake, I learnt the hard way by practicing what I had learnt from school na mengi niliyoambiwa na watu vijijini ni uwongo mtupu.
 
Last edited by a moderator:
jamani Mkereketwa Huyu nashukuru sana kwa maelezo yako mazuri,ila am sorry coz nina maswali mawili kuhusu chatu,je ni kweli kuwa mdomo wa chatu ni mwepesi sana hivi kwamba ukipata ujasiri wa kuushika unaupasua mara moja?na je ukilala chini chatu hana uwezo wa kukuattack kwa ajili ya kukumeza zaidi akiona huamki atakuchoma na mkia wake wenye sumu na kukunyonya ubongo?hayo ni baadhi ya mambo niliyowahi kusikia watu wakiyasema kuhusu chatu,naomba ufafanuzi wako tafadhali.

Sometimes I hate swahili legends juu ya baadhi ya vitu. Ni hivi Blue G, chatu as nyoka hana hizo sifa za kijinga wazisemazo watu hata siku moja. Chatu anapowinda ni kama nyoka wengine tu, wanapenda kuvizia kabla ya kushambulia. Mataya (jaws) ya chatu uwa yanaachana pale chatu anapomeza kitu kikubwa shinda mwili wake, then anapomaliza kumeza kile kitu anarudisha mataya yake in place by kuyachezesha left to right ili yakae in place. Na kama kameza kitu kikubwa zaidi mfano mbwa ama mbuzi, wala usiende mbali kumtafuta huyo chatu. Zunguka hapo ulikokuta hayo maafa ama kichaka karibu na hapo utamkuta tu huyo chatu kajificha kusibiri chakula kiozeane mwilini aondoke. Na mkia wa chatu hauna sumu hata kidogo, kwanza chatu tu hana sumu. Wa Cameroon, Nigerians, Congo, na Afrika ya kati wanakula sana chatu japo imekatazwa ila wanakula kama kawa na wanawawinda kijinga tu kwa mitego ya hajabu. Asikudanganye mtu, usiwe na hofu hata siku moja juu ya chatu ila usimchezee kimakusudi, achana naye tu. Katika nyoka wote, nyoka mshenzi ni koboko na kidogo kobra kwani nao wana asili pamoja na akili za koboko.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom