Utamsaidiaje Huyu????

Utamsaidiaje Huyu????

Halafu hivi huyo jamaa wakati anaanza kuukata huo mti, alitegemea utaangua upande upi?
Kwa haraka naona kulikuwa na kila dalili za mti kuangukia majini na huko tayari ndio makazi ya mamba...
Mwache aliwe tu kwa kuwa hakufikiria kabla...
 
Ana bahati huyu jamaa, yaani kapewa oppotunity ya menu ya kifo achague kifo anachokipendelea
 
Halafu hivi huyo jamaa wakati anaanza kuukata huo mti, alitegemea utaangua upande upi?
Kwa haraka naona kulikuwa na kila dalili za mti kuangukia majini na huko tayari ndio makazi ya mamba...
Mwache aliwe tu kwa kuwa hakufikiria kabla...

Huyu jamaa alikuwa anakata mti, ghafla bin vuu! Simba akatokea ikabidi aupande mti aliokuwa anaukata. Akiwa anafikiria kimkwepa simba yule akashangaa jinyoka likubwa linamsogelea, huku akijishauri kujitupa kwenye maji akashangaa mijimamba nayo imetokelezea!!!!

Hivyo ndivyo nilivyoweza kuitafsiri hiyo picha.
 
Mambaz wenyewe wametabasamu mpaka raha.Ila nadhani kidogo anaweza kunyoka na nyoka kwa kumlia timing, japo msala uko palepale maana anytime mti unaanguka ko atajuwa chakula cha mfalme wa maji mamba.
 
hii mbinu niliisikia nilipokuwa kanda ya ziwa sijui kama ni kweli, yaani hapo itabidi ajiachie mamba wamkamate maana wanasema kabla ya mamba kupiga kiteo lazima kwanza waupeleke nchi kavu then aende akawashtue wenzake ndo waanze kula, ila inabidi akikubana na meno yake usijitupetupe unatulia tu mpaka atapokufikisha nchi kavu then akikuachia unatoa nduki.
 
Mbona kazi ndogo tu hii? Hapa inabidi amshike nyoka kisha amrushie simba huyo nyoka maana simba anaogopa nyoka. Huyo nyoka anataka kushuka chini ila anashindwa/kuogopa kuanguka hivyo anamfuata jamaa ili apate lifti ya kushuka chini. Na kama jamaa ni jasiri, inabidi akamate huyo nyoka na kumua huku akiwa juu kwani akifanya hivyo simba na mamba wote wanadhani jamaa ni katili kumkimbia ili kujihadhali na huyo jangili la wanyama.
 
Hapo namwambia amkamate nyoka amtupe majini make ndo kiumbe ambacho anaweza kupambana nacho na akakishinda nguvu!
Nimewahi kusikia documentary moja nadhani ni National Geography jinsi ya kukabiliana na Simba..Simba hawezi mdhuru mtu mpka amekuvunja shingo kwanza.Cha kufanya ni kulala chini kimya bila vurugu huku mikono yako imeziba shingo yako..hakikisha Simba haipati shingo yako.
 
Haaaaaaaaaaaaaahaaaaaahhaaaaaaa chezea kiiingeresa wewe.
hahahhahaaaaaaa umenichekesha sana mpk nimejishtukia! nimekumbuka ile ya maza hause wa bunge!!! senkyu vere machieee..............hahahahhaaaa
 
Mbona kazi ndogo tu hii? Hapa inabidi amshike nyoka kisha amrushie simba huyo nyoka maana simba anaogopa nyoka. Huyo nyoka anataka kushuka chini ila anashindwa/kuogopa kuanguka hivyo anamfuata jamaa ili apate lifti ya kushuka chini. Na kama jamaa ni jasiri, inabidi akamate huyo nyoka na kumua huku akiwa juu kwani akifanya hivyo simba na mamba wote wanadhani jamaa ni katili kumkimbia ili kujihadhali na huyo jangili la wanyama.
maneno kutoka mepesiiiiiiiiiiiiiiii vitendo sasa ndo shughuli pevu,usiombe ndugu yangu!
 
saudari kiukweli kabisa hali iliyopo hapo inatisha aiseee yaani labda muujiza tu utokee coz hakuna kwa kukimbilia so ingekuwa mimi ningeukabidhi uhai wangu kwa mweza yote tu basi vinginevyo unasubiri matokeo.na hiyo picha inareflect mambo ambayo kwa kweli yanatukuta maishani nyakati nyingine yaani unakuwa umezungukwa na vikwazo mpaka huoni maana ya kuendelea kuishi,daaaahhh so sad aiseeee.
hata usipoikabidhisha atajikabidhi mwenyewe muumba kwa hali ilivyo ni muujiza tu unahitajika hapo.kumbe una huruma eeh
 
Back
Top Bottom