kwa mfano anayekupenda kisa unakazi nzuri au unapesa huyo mwogope ... ambaye atakupenda ukiwa huna kazi wala pesa ila akakusaidia kukupa mawazo ya namna ya kuzipata at list huyo anakufaaa...Situation zipi hizo Miss Chagga ? BUMIJA sikiliza....
1.anapua ndefu na kubwa
2.mara nyingi wavivu kupiga mswaki
3.anaweza vaa kanga moja akaenda hadi mtaa wa saba
ukiona mwanamke anasifa hizi we oa ndo mke mwema huyo
Mkuu sababu za kuchange..... chunga sana majirani/Company hao ni washawishi chakavu !!Dah Angalau Naanza Kuelewa Ila Kwanini Wema Hawa Wanachange?
Points zote ni 100% indeed.!!kwa mfano anayekupenda kisa unakazi nzuri au unapesa huyo mwogope ... ambaye atakupenda ukiwa huna kazi wala pesa ila akakusaidia kukupa mawazo ya namna ya kuzipata at list huyo anakufaaa...
mnayesikilizana wakati wa hasira na kujua kushuka huyo oa...
ANAYEJUA THAMANI YAKO KAMA MWANAUME UWE MZIMA AU MLEMAVU ,, UNACHO AU HAUNA HUYO WAKO..
japo kuwa mimi sikubaliani na hayo .. mimi pesa kwanza zikiisha naweza kuisha na mimi :A S shade:
najua pesa ni maua zikinyauka na mimi nanyauka ... wengine wasinifuate mimi ohoooPoints zote ni 100% indeed.!!
hujui kama pesa ni mauwa huchanuwa na kufifiaaa??!!
Mke mwema ni nani awezaye kumpata?
alraiti, Pesa zipo $,JY,Euro, na za madafu... utafuata ipi ???najua pesa ni maua zikinyauka na mimi nanyauka ... wengine wasinifuate mimi ohooo
huyo mke mwema unataka nani akutengenezee..we okota mpnz yeyote zen mformat kulingana na matakwa yako..ukiona aformatiki achana nae
kwa mfano anayekupenda kisa unakazi nzuri au unapesa huyo mwogope ... ambaye atakupenda ukiwa huna kazi wala pesa ila akakusaidia kukupa mawazo ya namna ya kuzipata at list huyo anakufaaa...
mnayesikilizana wakati wa hasira na kujua kushuka huyo oa...
ANAYEJUA THAMANI YAKO KAMA MWANAUME UWE MZIMA AU MLEMAVU ,, UNACHO AU HAUNA HUYO WAKO..
japo kuwa mimi sikubaliani na hayo .. mimi pesa kwanza zikiisha naweza kuisha na mimi :A S shade:
Salaam Aleykum "bi Madame S" !! Cutee girl...Ahahhahha nimechekaje
usd.....alraiti, Pesa zipo $,JY,Euro, na za madafu... utafuata ipi ???
ha ha ha nimejisemea ukweli mwenyeweMiss Chagga umenena vema.
Lakini paragraph ya mwisho mhuuuuuuuuuuu!
The woman you are looking for does not exist!