Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,544
Mke mwema ni aliyetulia kiakili pasipo kuwa na wenge,asiwe na shobo na vitu vya watu,afuate yake tu sio kuendekeza kupiga ukuda na mashosti zake (Akiwa hana kabisa itasaidia zaidi ili atulie ndani kwake),Mwenye heshima kwa ujumla unapokuwa nae na ukiwa mbali naye (awe responsive),Asiwe mchoyo,Asiwe mjuaji apende kuskiliza muongozo wako zaidi,Awe na roho ya kupenda mfanikiwe kwa kukupa mawazo mazuri,Awe social itasaidia kujenga mahusiano mazuri na ndugu jamaa na marafiki zako,Awe anakupenda kwa dhati,Awe ana moyo wa kujituma yan fighter atakuwa msaada pindi mambo yako yakiwa hovyo kwa mfano ukiumwa sana ukawa huwezi kufanya kazi tena (Mara nyingi mwanamke wa hivi hujulikana tu pale mnapoanza kuwa karibu kimahusiano kutokana na mitazamo yake tu kimaisha),Awe msafi wa mwili wake na mazingira and finally awe amekupenda kwa dhati ofcoz lazma msichana awe amekukubali kiukweli kwelii,atafanya yote hayo apo juu.
Wanawake wa hivi ni waliolelewa kwenye maadili mazuri na huwa wapo tu sema huwa wanaume tunakurupukaga bila kuwasoma vizuri tunajikuta tunaangukia kwa wababaishaji,naamini ukitulia unampata mbona ingawa kwa Dar ni changamoto!
Mawazo yako tu, Dar wapo vzuri! bas tu hujafanikiwa kukutana nao