huwezi kumjua kwa akili zako hadi mungu akufunulie
Kwa Mfumo wa Maisha ulivyo huwezi pata Mke mwema wakati ww sio Mwema, ni lazima upate unachofanana nacho maana ndege wanofafana huruka pamoja.
Walishakufaga hao siku nyingi tu, siku hizi ni hela tu
asiyeongozwa na situation kukupenda wewe
Situation zipi hizo Miss Chagga ? BUMIJA sikiliza....asiyeongozwa na situation kukupenda wewe
the woman you are looking for does not exist!