ha ha ha nimejisemea ukweli mwenyewe
Haya Buaana.
ha ha ha nimejisemea ukweli mwenyewe
asiyeongozwa na situation kukupenda wewe
kukupenda bila kuongozwa na situationkupendwa tu haitoshi unaweza pendwa na mwanamke tena sana but si mke mwema
kukupenda bila kuongozwa na situation
The woman you are looking for does not exist!
amen nimepokea
hivi ni vigezo minner sana ambavyo wengi mnatumia halafu mnakimbilia wasiokunywa wala wezi na kuchukua wazuri halafu wanageuka mbwa mwitu.....so hata akiwa mwizi mlevi anafaa kisa kakupenda?
yeah inawezekana..akikushinda ujue huyo sio saizi yakoInawezekana kum-format eeeh!
Basi ni habari njema.