Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Bil Baraka in-Shaa-Aallah msalimie bibi Johari...!
ahahahhaah sawa zimefika kaka
Bil Baraka in-Shaa-Aallah msalimie bibi Johari...!
umeona eeeh.. mwambie khabari ya mujin huyo
umeona eeeh.. mwambie khabari ya mujin huyo
hahah.. avatar shud never convince you am wife material... you pray hard to find yours.. so far i`ve also learned to pray for a hubby material..Avatari Yako Nimeipenda,nadhani Utakua Mke Mwema
usimpe hela ya kutengeneza nywele mwezi mzima wala usimtume vocha mwezi mzima akiendelea kuwa na wewe huyo ndio mke mwema
hahah.. avatar shud never convince you am wife material... you pray hard to find yours.. so far i`ve also learned to pray for a hubby material..
mi naona mke mwema ni yule Msiri wa mambo yanayowahusu wawili
unaeweza kumdanganya na akakuamini!
ambae akichukia anakwambia!
anaependa ndugu zako!
anaevumilia skendo zako!
anaejua kupika na sio mvivu!
Ukitaka mke mwema na wewe plese kuwa mume mwema.Ndege wanaofanana huruka pamoja.Mtakutana tuu endapo na wewe utakuwa mwema.Katika kitabu cha the secret mwandishi anasema like attracts like.Ukiwa mwema unaatract watu wenye tabia hizo katika maisha yako ikiwemo mke.

Ni viashiria vipi vya kuthibitisha kua huyu ndiye na huyu ni kapi?Wasanii wamekua wengi hasa ukiwa na pesa unalambwa hadi miguu.Nani ni mke mwema jamani?
Kapi kwako ndo chaguo kwa mwenzio
Labda alimaanisha utamjuaje mwanamke atakaekufaa maishaniMpwa mbona swali lake rahisi sana hebu soma tena hapa.
Mpwa huoni kuwa mwanamke yoyote anapatikana kwa tongozo, na tongozo lazima likubaliwe...