Kisusi Mohammed
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 563
- 468
Nimekuwa nikijihusisha na marafiki, ndugu na jamaa zangu wengi sana, kwa bahati nzuri wengi wao wana vipato vya kuwawezesha kukabili maisha ya mjini! Cha kushangaza, wote hao unapowauliza "je mwenzangu wafanyaje kujipatia rizki hapa mjini?" Wote huwa WAONGO na WANAFIKI kwa sbb hawajajijengea utamaduni wa kuelekezana yaliyo mazuri! Sasa jamani, tatizo ni nini kwenye suala hili?