Utamaduni wa kuelekezana njia za kujipatia riziki!

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
468
Nimekuwa nikijihusisha na marafiki, ndugu na jamaa zangu wengi sana, kwa bahati nzuri wengi wao wana vipato vya kuwawezesha kukabili maisha ya mjini! Cha kushangaza, wote hao unapowauliza "je mwenzangu wafanyaje kujipatia rizki hapa mjini?" Wote huwa WAONGO na WANAFIKI kwa sbb hawajajijengea utamaduni wa kuelekezana yaliyo mazuri! Sasa jamani, tatizo ni nini kwenye suala hili?
 
wakikuelekeza utaweza? mwombe Mungu akuonyesha njia yako mwenyewe mkuu!! inawezekana wanashindwa kukuambia kwa sababu wamefanikiwa kwa njia zisizo halali au za kishirikina kama kulala na mama zao, kuua ndugu au watoto au kuingia mikataba ya ya kiovu.
 
Duh, kwa minajili ya njia hizo ziczokuwa halali ctaweza. Kweli acha nisubiri njia atakayonifungulia Mungu.
 
Mwombe mungu akuonyeshe njia ya kujipatia riziki kwani hata wakikueleza vipi, bila mkono wa mungu hakuna utakalofanikiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom