Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,609
- 59,655
Duuh ndio ukatoa sadaka 5k, na ukalala nae bila kucheza mechi au wanakusingizia tu?Alifika na coins mbili za mia tano tano nikamwonea huruma tu.
Duuh ndio ukatoa sadaka 5k, na ukalala nae bila kucheza mechi au wanakusingizia tu?Alifika na coins mbili za mia tano tano nikamwonea huruma tu.
Adabu ndio kitu muhimu sana maana ukijitoa ufahamu tu utanasa kwa mara nyingi na kwa awamu hii mateso yake yatakua si km yale ya mwanzoZamani sana mkuu baada ya hapo naishi kwa adabu sana siku hizi.
Ndo maana inatakiwa uwe kwenye serious relationship siyo kununua Malaya mkuu
Ni kweli kabisa, cha ajabu yule binti aligoma kabisa haumwi na hospitali kagoma kwenda na akanigeuzia kibao kwamba nilichepukaAdabu ndio kitu muhimu sana maana ukijitoa ufahamu tu utanasa kwa mara nyingi na kwa awamu hii mateso yake yatakua si km yale ya mwanzo
Malaya hana adabu, unaambiwa malàya usipokua nae makini hachelewi kukuitia mwizi na ukachomwa moto mbele yake hivi anakuona unateketea, huyo ndio malàya kua makini na Malaya mkuu la sivyo tutakupotezaNi kweli kabisa, cha ajabu yule binti aligoma kabisa haumwi na hospitali kagoma kwenda na akanigeuzia kibao kwamba nilichepuka
thubutu, huko ndiyo wanameza ARVs kimya-kimya kama hawana akili nzuriserious relationship
Ha ha haa,sure yaanHawa wote wauzaji tu...mnunuzi na muuzaji wote fungu moja...
Sasa anamtolea dada wa watu povu kwani wakati anaomba mechi si alijua kabisa hana thamani ya buku 5? Hiyo inaitwa kimeumana
Seriously?thubutu, huko ndiyo wanameza ARVs kimya-kimya kama hawana akili nzuri
Sawa,mejifunzaSerious relationship ndizo haziambukizi magonjwa?
Toka umevunja ungo mpaka umri uliopo now umepitia mahusiano mangapi? Je hao wote waliokupitia unajua afya zao za magonjwa yote ya zinaa ? Kuna silent killer nyingi sana.
Vipimo vya STD hepatitis A, B,C,D,E havipo hospital zote. Ni ocean road tu na muhimbili ndiyo wanavyo vyote.
Bado hujaja kwenye kansa ya kizazi, ama hujui kansa ya kizazi inaambukizwa kwa ngono zembe pia?
Hayo magonjwa kwa mfano utapima na kila mpenzi mpya unayeanza nae mahusiano baada kuachana na dear X
kwa malaya ngumu sana kwenda kavu, maana unajua ukigusa steak-steak tu unawakaSeriously?
Hao wote wauza mainiHa ha haa,sure yaan
Well saidSerious relationship ndizo haziambukizi magonjwa?
Toka umevunja ungo mpaka umri uliopo now umepitia mahusiano mangapi? Je hao wote waliokupitia unajua afya zao za magonjwa yote ya zinaa ? Kuna silent killer nyingi sana.
Vipimo vya STD hepatitis A, B,C,D,E havipo hospital zote. Ni ocean road tu na muhimbili ndiyo wanavyo vyote.
Bado hujaja kwenye kansa ya kizazi, ama hujui kansa ya kizazi inaambukizwa kwa ngono zembe pia?
Hayo magonjwa kwa mfano utapima na kila mpenzi mpya unayeanza nae mahusiano baada kuachana na dear X
Wanasambaza umeme ila hawataki mimba kutwa wanabeba P2 ili mimba zisiingieWanawake hawaogopi Ukimwi wao wanaogopa Mimba tu
Hahahahaaaa, umenikumbusha mbali sana, enzi zileeeee...Una maneno makali kwake,mi mwenyewe bora uniue kwa nyundo nzito lakin condom hunilii aisee......mkipendana wawili wekeni taratibu ya kupima afya
Ina mda gani mkuu tangu unase kwenye tundu bovu?Jamani UTI inanitesa Sana