Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

Anaongea na simu kana kwamba anarecord ujumbe wa sauti kumbe ndio anaongea na agent wake amtolee kontena la vipuri vya magari bandarini.
 
Demu (sista duu) anastaili moja ya nywele mwanzo mwisho! wakati Movie inaonekana imechukua 3-5yrs (vitendo/ujumbe vyake) kukamilika
 
Ha ha
Ulcer by piano zimeshamili mapenz meaning mwisho
 

1-walinzi wengi huwa ni comedians
2-tajiri anakuja kumpenda masikini
3-jambazi lazima awe anavaa miwani nyeusi na mvuta sigara na koti refu jeusi
4-wote wanaouwawa kwa bunduki hupigwa kifuani au tumboni sio kichwani
5-mtu yupo village,life gumu ana wave kichwani
6-wimbo wa malavidavi unaimba mpaka unaisha
7-nusu saa mtu anatembea, anakimbizwa, ananunua vitu
8-wakifika hotelini imezoeleka ni juice au wine isiyofunguliwa
9-madem wanaamka wana makeups usoni na hereni kabisa
10-part 2 ya movie ukiiona mwanzo unajua part 1 ilikuwaje
11-jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avuke..!

We ni mbaya sana, yani umekanyaga mule mule, mi nimeangalia chahe sana, lakini nimekuelewa sana.
mtu akianza kurecodiwa anaanza kwanza kukakamaa
 
Majambazi walijua wamemuua, mchungaji akikaribia kufungisha ndoa jamaa anatokea bibi harusi anazimia
 
Jini linamkimbiza mtu linajikwaa linaanguka......ahahhahahahahhaha
 
ukiangalia dk 5 tu unajua content nzima hadi itakavyoisha, loh!
 
scene nzima inaonyesha mtu na demu kwa muda wa Dk 20 wanashuka kwenye Gari na kuingia kwenye Mall mfano Mlimani city.
 
Back
Top Bottom