Jina la movie lazima liwe la kiinglish
1. lazima mganga wa kienyeji awe anatisha,na kutoa kicheko cha ajabu cha kumtisha "mteja"
2. mwisho wa muvi lazima mtu mwenye roho mbaya ataaibika.
3. ukiitazama muvi,hadi kufikia robo ya muvi unafahamu nini kitaendelea wala huitaji part 2.
4.Ili muvi iuze lazima kwenye cover picture awepo mzee magari,chilo au maarufu yeyote.