Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

1-walinzi wengi huwa ni comedians
2-tajiri anakuja kumpenda masikini
3-jambazi lazima awe anavaa miwani nyeusi na mvuta sigara na koti refu jeusi
4-wote wanaouwawa kwa bunduki hupigwa kifuani au tumboni sio kichwani
5-mtu yupo village,life gumu ana wave kichwani
6-wimbo wa malavidavi unaimba mpaka unaisha
7-nusu saa mtu anatembea, anakimbizwa, ananunua vitu
8-wakifika hotelini imezoeleka ni juice au wine isiyofunguliwa
9-madem wanaamka wana makeups usoni na hereni kabisa
10-part 2 ya movie ukiiona mwanzo unajua part 1 ilikuwaje
11-jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avuke..!
wanaudhi sana! hasa hapo bold.
 
Unachoongea kinaukweli lakini sio filamu zote. Binafsi najitahidi kuboresha.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Unachoongea kinaukweli lakini sio filamu zote. Binafsi najitahidi kuboresha.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

itakuwa vizuri sana ukiboresha, kuna ile picha ulioact inaitwa signature naipenda sana! mweshimiwa diwani ulikuwa na msimamo sana juu ya rushwa lkn kabinti kalikuzidi maarifa haahaa Cloud 112
 
Last edited by a moderator:
itakuwa vizuri sana ukiboresha, kuna ile picha ulioact inaitwa signature naipenda sana! mweshimiwa diwani ulikuwa na msimamo sana juu ya rushwa lkn kabinti kalikuzidi maarifa haahaa Cloud 112

Nashukuru sana

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
ray akitoka kwenda ulaya masomoni kwa mwaka 1 akimwacha johari sebuleni baada ya mwaka anamkuta palepale na pamba zilezile..c unajua zile za 'BAADA YA MWAKA'
 
Kwa mdada akiishi maisha ya kitajili lazima avae nguo inayoishia mapajani na kiatu kirefu, akivaa nguo ndefu ujue anacheza scene ya kijijini
 
Title ya filamu ni Kiingereza, ndani full Kiswahili! No wonder sizipendi kabisa hizi filamu!
 
Unachoongea kinaukweli lakini sio filamu zote. Binafsi najitahidi kuboresha.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Inapendeza sana kama wewe ndio mwenyewe Cloud muigizaji. Nadhani wewe na wenzako mkiuchukulia ushauri huu positively, mtafika mbali sana ki filamu, kwa maana ya kwamba:-
  1. Sio kila jambazi lazima avae koti refu na miwani, wengine huwa wanavaa kikawaida kabisa na ni majambazi sugu
  2. Kuwe kuna characters ambao wao ni wa kucheza ukatili ama upendo tu. Namaanisha kwamba, msiwe mnabadili badili uhusika wa mtu, kwenye movie 'A' mtu ni jambazi, kwenye movie 'B' mhusika huyo huyo ni mchungaji, na kwenye movie 'C' mtu huyo huyo ni malaya wa kutupwa. No. Fuateni mfano wa Pete Edochie wa Nigeria, ama marehemu Mzee Amrish Puri wa India au ---- Yeung, wao waliamua kubeba upande mmoja wa uhusika kwenye movies almost zote.
  3. Kitu kingine, scene moja aichukue muda mrefu, kama walivyotoa maoni wenzangu hapo juu. Mtu anafukuza mwizi dakika 15 na zaidi kwenye movie, inaboa sana. Ama mtu anatongoza binti nusu saa nzima. Akimaliza kutongoza mnaweka maandishi mwishoni 'WATCH PART 2', huwa inakera sana. Mbadilike
Ni hayo tu ndugu Cloud, wewe na wenzako muyazingatie ili mtuboreshee kazi zenu.
 
1.coming soon dakika 25 2.mwenye sura ya huzini abaigiza jambazi 3.mhusika anatoka ndani,anaingia garini,anawasha gari,anageuza na kutoa getini dk 20 4.code switch na code mixing nyingi 5.mavazi hayaendani na uhusika
 
Mtu anaonekana anashuka kutoka kwenye gari mjini na kuelekea ofisini lakini mazingira yanaonyesha wazi kuwa ni Jumapili au siku nyingine ya mapumziko.
 
More than true, i have watched most of them to the extent sitaki tena kuzitazama
Aiseeee nakusifu you have guts to look to those freaks una moyo mimi hapa home ndugu zangu wakiwa wanaangalia wananiambia niondoke au nikae kimya coz kila baada ya dakika 1 ntasonya au ntaponda coz akina downey jr,denzel,dicaprio wameniharibu
 
UTAJUAJE NI BONGO MOVIE?-""

1.Jini akifika barabarani
anaangalia
pande zote ndo avuke barabara.-""
2. Matajiri majumba yao yana askari
badala ya electric
fence &
gates.
3.Trailer inachukua
dakika 40.
4.Part2 ya movie ukiiona
mwanzo unajua part1
ilikuwaje.
5.Madem wanaamka wanamake ups
usoni na hereni kabisa.
6.Wakifika hotelini imezoeleka ni juice
inaagizwa au wine
isiyofunguliwa.
7.Nusu saa mtu anatembea,anafanya
mazoezi,anakimbizwa au ananunua vitu.
8.Wimbo wa malavidavi
unaimba
mpaka unaisha.
9.Mtu yupo
village,life gumu ana wave kichwani.
10.Wote wanaouwawa kwa risasi
hupigwa kifuani au
tumboni sio kichwani.
11.Jambazi
lazima awe anavaa miwani nyeusi,koti
kubwa na mvuta sigara mwenye sauti
nene na sura ya kutisha
12Tajiri anakuja kumpenda maskini.
13. Jina La Movie La Kingereza, Ndani
Mazungumzo Ni Kwa Kiswahili.
14.Editor Roy Kijusi, Camera man
Inosenti Kijusi, graphic designer Roy
Kijusi, Location manager Happy Kijusi,
Mavazi Suzy Kijusi.
15.Movie inapart1 na part2,lakn
ukiangalia unagundua ni disc.1 na disc.2
16.movie inaitwa life is harder (mfano)
afu kwenye kava watu wameweka
mapozi ya mamodo na warembo.""
 
Hujakosea kaka

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hahahahahaaaaaa
17. Demu ana kampuni ya uwakili au anafanya kazi benki mavazi utafiriki anaenda disko. na wanaume wanavaa nguo za waimbaji wa bolingo
 
Back
Top Bottom