dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
Mlio wa mshangao unapigwa hata kama jamaa amekunywa maji au anavaa ndala utasikia ngiiiiiii ngiiiiiiiii jamani tunashindwa kuigiza mahadhi ya muv kama ile ya White masai,yellow card,Viva riva.
Unatakiwa kuwa na remote mkononi muda wowote sauti inaweza kupanda au kushuka
Mtu anaanza na sentensi ya kiingereza lkn hawezi kuimalizia.
Wadada kazi kubwa wanayoifanya ni kuonyesha umaridadi wa mavazi, mashepu na na makeup na si kuact
1-walinzi wengi huwa ni comedians
2-tajiri anakuja kumpenda masikini
3-jambazi lazima awe anavaa miwani nyeusi na mvuta sigara na koti refu jeusi
4-wote wanaouwawa kwa bunduki hupigwa kifuani au tumboni sio kichwani
5-mtu yupo village,life gumu ana wave kichwani
6-wimbo wa malavidavi unaimba mpaka unaisha
7-nusu saa mtu anatembea, anakimbizwa, ananunua vitu
8-wakifika hotelini imezoeleka ni juice au wine isiyofunguliwa
9-madem wanaamka wana makeups usoni na hereni kabisa
10-part 2 ya movie ukiiona mwanzo unajua part 1 ilikuwaje
11-jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avuke..!
12. Kuonekana kinasa sauti juu ya vichwa vyao

12. hemed ameajiriwa ofisin anavaa HERENI sikion
Nimeipenda hii, yaani umenivumba mbavu na mie sio fani kabisa wa muvii hizi za wabongo, ukiwa mtu wa kugundua utumbo basi zinakera sanaaaaaaaaaaa.
Wanahitaji mafunzo mengi hadi kwenye masauti yao huwezi jua nani ni nani ukiwa umefunga macho bila kuona uso wote wanaremba sauti, duh balaaa.
Nina friends wangu huwa tukiongea ni tunasikitika, kuna mmoja ndio hawezi kabisa eti sauti zao zinavutaaaaaaaa wanaume kwa wanawake na sio jinsi tunavyoongea as wengi wana sauti na ma akisenti yao wenyewe.
Ukiona mwigizaji anatoa mimacho kama chura ujue kakasirika kiartifisho!