Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

Nyingine ni kwamba kwa mf. M2 anaingia kwnye gar wataonexha tangu anatoka ndan,anaingia analiwaxha analiendexha adi 20mins znaishia apo kwa m2 m1.
Mezani mf wanakula,ni chips na wali hakuna cha ugali wala any tzan fud.wanaboa kichz.

ha ha ha ha! na wewe una tofauti gani na hao waigizaji wa hizo filamu zenu?

CC: Samwel0759
 
Last edited by a moderator:
1. Zinakuwa za Kisahili
2. Kama zina subtitles basi zinakuwa zimeandikwa kwa Kiingereza kibovu
3. Mtu asiyefahamu lugha ya Kisawhili ambayo ndiyo inayozungumzwa na waigizaji basi akisoma subtitles za Kiingereza hatailewa movie maana hazielezei maana ni matukio mengi ya mzsing hayaandikwi.

Waigizaji wenyewe darasa la tano. Kimombo wakiweze wapi
 
1. majambazi wanapovamia huingia nyumbani kwa mtu wakiwa peku
2. wanawake wanalala na makeup.. mawigi.. hereni nk..
3. story yote huisha part 1 part 2 ni kumbukumbu ya yaliyopita..
4. subtitle mbovu
5. actor, producer, director, editor, camera, lights, script, story vyote hivi vinafanywa na mtu mmoja
6. majina ya waigizaji ni ya kizungu tuu.. david, anderson, mathew, esther, nk
7. kiingereza cha kuunga unga haswa mtu anapokua na hasira au akiwa amefurahi
8. steringi ni lazima awe tajiri
9. story zinafanana na muvi iliyokwisha chezwa
10. wadada huvaa hovyo sana
11. ma gangstar wanakuaga ni sura ngumu tu mwanzo hadi mwisho wa muvi
12. dakika kumi scene ya mtu anatembea tu hajulikani ni wapi anakwenda ama kuoneshwa watu wakicheza muziki.. disco
13. umarekani mwingi
14. scene za mapenzi kila muvi ni beach,, hotelini na chumbani
15. majambazi huvaa makoti makubwa meusi na mabuti makubwa
16. tajiri sikuzote ni yule star wa bongo muvi
17. mlinzi wa getini ni lazima awe machepele
 
Nimeangalia moja jana, jina la movie imenitoka, Diana kimalo ndio muhusika mkuu, sasa tangu anasoma form one hadi kamaliza form four amesuka nywele zilezile, aliondoka nchini kwenda South Africa na bado ananywele zilezile.
 
Kujua hii ni bongo movie
Kama kuna subtitles basi
Babu huitwa Oldman lol (grandfather )
 
Lazima ukae na remote mkonon kuongeza na kupunguza sauti kila mara, poor voice
 
Sasa jamani wekeni marekebsho(wafanyeje)ili kuondosha kasoro zao coz nobody'z perfect.

bongo muvie sio mtu mmoja kwa msemo wako nobody'z know wale ni watu wengi na kwa ujinga wao sie tunaainisha tu wakitaka kuendeleza upuuzi wao na waendeleze tuu ndo maana mi cd yao inaendelea kudorora
 
Back
Top Bottom