Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

daah this is true bana, sometimes kucheki movie ya namna hii inaboa sana ,,,we need more step ahead.............:typing:
 
*Actor/actress anajisahau mara nyingine anaikodolea macho camera.
*Mlinzi wa nyumba ya tajiri lazima awe comedian.
 
1. Zinakuwa za Kisahili
2. Kama zina subtitles basi zinakuwa zimeandikwa kwa Kiingereza kibovu
3. Mtu asiyefahamu lugha ya Kisawhili ambayo ndiyo inayozungumzwa na waigizaji basi akisoma subtitles za Kiingereza hatailewa movie maana hazielezei maana ni matukio mengi ya mzsing hayaandikwi.
 
kila tukio linaonyeshwa kuanzia mwanzo hadi mwisho....usiombe movie ikawa na tukio la arusi wataonyesha kuanziabi arusi anaenda saloon yaani tukio linakuwa kama movie of its own
 
1. Jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avukebarabara.
2. Matajiri majumba yao yana askari badala ya electric fence & gates.
3. Trailer inachukua dakika 40.
4. Part2 ya movie ukiiona mwanzo unajua part1 ilikuwaje.
... 5. Madem wanaamka wana makeups usoni na hereni kabisa.
6. Wakifika hotelini imezoeleka ni juice inaagizwa au wine isiyofunguliwa.
7. Nusu saa mtu anatembea,anafanya mazoezi, anakimbizwa ananunua vitu.
8. Wimbo wa malavidavi unaimba mpaka unaisha.
9. Mtu yupo village, life gumu ana wave kichwani.
10. Wote wanaouwawa kwa bunduki hupigwa kifuani au tumboni sio kichwani.
11. Jambazi lazima awe anavaa miwani nyeusi na mvuta sigara.
12. Tajiri anakuja kumpenda maskini

kwanzia namba 9 ni kiboko ha ha ha
 
alaf wakihojiwa utasikia wanajidai kuwa walitafta location fasta namovie iliektiwa fasta ndani ya wiki moja!!! haaa haa
 
movies director wote hawajasomea hiyo fani ila wanatumia experience tu
msanii akiigiza scene zaidi ya 3 bac atakuwa director na kutoa movie yake
kila aliyeshindwa maisha au alokosa kazi, kama hataimba basi utamkuta anaigiza bongo movies
kila miss au binti yoyote akionekana kuwa maarufu tu basi lazima aigize movies na awe main actor
 
1. Jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avukebarabara.
2. Matajiri majumba yao yana askari badala ya electric fence & gates.
3. Trailer inachukua dakika 40.
4. Part2 ya movie ukiiona mwanzo unajua part1 ilikuwaje.
... 5. Madem wanaamka wana makeups usoni na hereni kabisa.
6. Wakifika hotelini imezoeleka ni juice inaagizwa au wine isiyofunguliwa.
7. Nusu saa mtu anatembea,anafanya mazoezi, anakimbizwa ananunua vitu.
8. Wimbo wa malavidavi unaimba mpaka unaisha.
9. Mtu yupo village, life gumu ana wave kichwani.
10. Wote wanaouwawa kwa bunduki hupigwa kifuani au tumboni sio kichwani.
11. Jambazi lazima awe anavaa miwani nyeusi na mvuta sigara.
12. Tajiri anakuja kumpenda maskini

Hiyo namba 1 nimeipenda. Jini anaogopa kufa????
 
laazimaaa itakuwa imegandamiziwa kwenye movie za mbele na hamna jipya...na lazaidi tajiri lazima atakuwa amevaa pete kuubwaaa
 
  • Sehemu inayopaswa kuelezwa kwa vitendo, inaelezwa kwa maneno.
  • Story concepts zinafanana.
  • Mara nyingi title ya movie inatajwa ktk movie yenyewe.
 
Back
Top Bottom