Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,796
- 5,235
Huo uzi wa Magere upo hapa JamiiForums??Naona kama uandishi wa Lwanda magere na Master Umughaka unaendana.
Ila Lwanda alijua kutaabika aisee
Akaenda Kigoma,akaenda Kongo
Mara akazama ziwani Tanganyika
Yaani heka heka kama zoote
Bado tego zake barabarani za kuangusha magari,.mara Mbeya,mara Mbozi,mara Tukuyu.
Hii stori ya Umughaka imenivutia na nimeweza kusoma.
Ni stori yangu ya pili kuifuatilia.
Ya kwanza ni ya huyo Magere.
Mimi si mzuri sana kwenye kusoma soma hadithi.
Hadi nimesoma basi waandishi wapo vizuri.
Salute kwako mwamba UMUGHAKA .
Sent using Jamii Forums mobile app