Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,774
- 40,445
Tuombe heri mama. Ila si bado za kawaida unaendaga nazo?
Basi week ijayo
Basi week ijayo
Kwa mtu malaya ni mateso sana hayo
Heeeeeh. Hi ni kabambekuna mmoja yupo pale Iringa akihisi mkojo anapanda baiskeli anakwenda kukojoa njia panda,Da!!!!!!!!
Tuombe heri mama. Ila si bado za kawaida unaendaga nazo?
Halfu siku hizi sina mood
Napenda nifanye weekend tu
Na hivyo ndio inatakiwa. Iwe kama burudani tu, ambayo sio lazima
Hahah unamdiss tajir wenu wa kitaa?
Ni vichawi mno mkuu navifahamu in and out ukienda Makete utalia kumepauka Hakuna kitu wakinga wameikimbia Makete wote hata wakifa wanazkwa uyole aibu
ViHéla vya kishirikina havidumu ndugu zangu
ViHéla vya kudonoa kuku kwa mwakipande hovyo kbs
Hahaha hili swali..Wewe ni mchawi?
Ni yule alikuwa na duka pale mjini nini alikuwa na ndevu hv.. walikuwa wanaliita duka la uchi. Nasikia alikuwa anajisadia haja kubwa porini.Yule Mzee alishafariki mkuu.
Na alifariki baada ya kuachana na hizi mambo.
Ukibanwa na tumbo la kuendesha usiku itakuwaje? Masharti Mengine mmmmmmhhh!Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
We mdada tafadhari,Ni yule alikuwa na duka pale mjini nini alikuwa na ndevu hv.. walikuwa wanaliita duka la uchi. Nasikia alikuwa anajisadia haja kubwa porini.
Lazima itakua kiume chake,hakifanyi kaziIla mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo
Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma
Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana
Alishakufa mkuukuna mmoja yupo pale Iringa akihisi mkojo anapanda baiskeli anakwenda kukojoa njia panda,Da!!!!!!!!
Usipende kuhukumu usije nawe ukahukumiwa, kipimo hichohicho unachotumia kuhukumu wengine ndicho na wewe utahukumiwa nacho.Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Its better to cry in Marcedes than on bicycle!Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
No, fanya kaz siyo uchawiKwa hiyo bora upate mia kwa jasho ila uwe Mzinzi kwa maelezo yako?
Hapa ndiyo waganga wanapotulia hela, anakupa masharti ili usitumie hela kirahisi, unamake pesa nyingi na huzitumii. Hapo kuwa tajiri ni rahisi ukiamini dawa ya mganga ndiyo imekutoa.Usitembee na mke zaidi ya mkeo
Usile nyama
Usile hotelini
Usilale gesti
Usivae nguo nzuri
Usinywe pombe
Usipeleke watoto shule za kulipia n.k n.k
Kwa masharti hayo unahitaji ndagu tena au ujinga tu
Haaaah ndiyo hiyo ila usinitaje simo?Unamaanisha Paradise Hotel?