DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,101
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Kweli umeishi huku Mzee hao wazee tuna waeshim mwishooNimeishi huko miaka 15 ninefanya kazi halmashauri za mbozi,Makete,Njombe,songea na mbeya jiji
Ni kweli mtupu vitajiri uchwara vya huko vinalala nje,vinashindia andaz vimepaukaaa
Utajiri wa huko ni wa kudonoa kwa mwandulami ,mwakipande hovyo kbs
Hahaha aise huyu sifazake zimeanza Ku tambulikaDogo usibishebishe vitu usivyovijua. Nenda Makambako mtafute tajiri mmoja anaitwa Mchape utaelewa mtoa mada anachomaanisha.
Wanaoleta ushirikina Mbeya wanatokea makete. Hawa watu ni balaa wanasambaa tz nzima saiziSumbawanga ni jina tu linavumishwa na watu na kutumika kibiashara, lakini ushirikina wa nguvu upo Mbeya na Makete
Uyu itakuwa alipata utajiri wa kuku Kula mahindi sasa kuku zilidonoa mahindi 50. Utajiri wake wa miaka hamsiniIla mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo
Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma
Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana
Wakinga wanapenda ndagu .Hapana yule dogo siyo ndagu namfahamu sana ameishi maishs magumu sana alipata mtaji baada ya kupiga udalali wa nyumba alipata around 20 mil ndo kachomoka.Kwa huko songwe king kong wa haya mandagu ni dingi mmoja wa vwawa mkinga anaitw chau.....nini sijui??
Mpaka kulala kwenye cement kavu Tena uchi ni kubana matumizi. Na nguo uvae wiki nzimaWaganga ni watu wajanja sana. Kwa masharti hayo umakuwa unabana matumizi ya fedha uliyonayo na itabaki kwenye mzunguko wa biashara tu. Utakosaje kuwa na pesa nyingi wakati unazalisha sana unakula kidogo. Tufunguke akili
Nao Hawa wa Moshi ni wachawi sana eti. Ila Hawa nao kwani wana ela za aina ganiToka makonda awatukane kule Machame naona mmekaa kikao Cha kuchafua makabila Mengine, Maana toka hiyo siku nyuzi za aina hii zimekuwa nyingi Sana, kwenye majukwaa mbalimbali.
Hizo ndagu Kama zinasaidia tafuta nawewe uwe tajiri.
Utajiri kusini, unapatikana shambani, na Msituni.
Sasa hiyo suti unataka avae saa ngapi Mkuu.
Huko hakuna wachuuzi, Kuna wakulima, na Hawa ndio wenye pesa.
Lakini huwezi msikia Mnyaki, safwa ambaye mchawi. Ila wakumbozi ,wakumakete, wanapenda utajiri wa ndagu ni kweli etiSio uongo mkuu,ni kweli,Njombe,Iringa na Mbeya zinaongoza kwa tabia hizo ovu.Mauaji ya watoto Njombe ambayo yaliitikisa nchi miezi michache tu iliyopita yalisababishwa na tamaa za utajiri wa kishetani.
Kwanini?[emoji28]
Bado sijafikiria kuacha
Miaka 50 kweli inapatikana?Uyu itakuwa alipata utajiri wa kuku Kula mahindi sasa kuku zilidonoa mahindi 50. Utajiri wake wa miaka hamsini
Sent using Jamii Forums mobile app