Utajiri wa masharti ni mateso

Utajiri wa masharti ni mateso

Hapana yule dogo siyo ndagu namfahamu sana ameishi maishs magumu sana alipata mtaji baada ya kupiga udalali wa nyumba alipata around 20 mil ndo kachomoka.Kwa huko songwe king kong wa haya mandagu ni dingi mmoja wa vwawa mkinga anaitw chau.....nini sijui??
Wakinga kwa nahela uchwara ya uchawi Ni Kama uji na mgonjwa
 
inaonekana hujawahi fika mikoa hii unasimuliwa tu na walevi wenzako kilabuni, hakuna hiyo mambo huku bata kama kawaida
Nimeishi huko miaka 15 ninefanya kazi halmashauri za mbozi,Makete,Njombe,songea na mbeya jiji
Ni kweli mtupu vitajiri uchwara vya huko vinalala nje,vinashindia andaz vimepaukaaa
Utajiri wa huko ni wa kudonoa kwa mwandulami ,mwakipande hovyo kbs
 
Hahahhaaa unachuki na Wakinga mkuu, nakuona kila mahali, walikufanyia nini hawa.
 
Ungewataja na majina bhasi angalau tuwafaham ili siku tukikutana nao tukae nao Mbali maaaana wengi wao hawachelewi kukutanguliza Kule wtu wasikorudi
 
Back
Top Bottom