Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Acha hizo!
Kuwaingiza watu kwenye utumwa wa kishirikina.
Halafu watu wakixipata hixo hela wanaishije, kama wanyama wa kufugwa tu.
Mtumainie Yesu kwa mafanikio mema!
Mshana anatoa darasa tu..Inashauriwa kusoma kila kitu lkn usifanye kila kitu Mkwere alisema Akili yakuambiwa unachanganya na zako!
 
Nilihadithiwa unaenda kwa mganga then usiku mnatoka na mganga ameshika kuku ww umeshika punje za mahindi katika mikono yako unamwaga uwanjani kuku anakula. Punje atakazo kula ndio urefu wa maisha yako ie akila 10 unakaa miaka 10 ya utajiri wa kutupwa etc
Naskia kwa wakinga iko common sana
Aking'ata kipande ,,chai utainywea akhera!!
 
Humu kuna watu mara mimi siwezi jaribu,wengi wanamtaja Yesu,wengine wajinga ndo waliwao ila ndo wateja pendwa kwa kwenda kujaribu vitu vya kishirikina kwa kupelekwa/kujipeleka wenyewe kwa msaada wa rafiki zao na hata hao wanatumia utajiri wa hivyo walikua wanakataa na kuapa hawatofanya hizi mambo ila dunia imevaa mlegezo...
 
% kubwa ya wafanyabiashara wa kiafrika wanapita kwenye short cut hizo hasa hapa kwetu Tanzania ndio wamekithiri.

Zamani ilikuwa ni makabila fulani / kwa sasa imekuwa km fashion' ndio maana ugumu wa maisha unaongezeka kila kukicha maana shetani kaingia kwenye cash flow nchini" hawa wafanyabiashara wa mtindo huu wameharibu kabisa mzunguko wa pesa (how) ...matumizi yao yapo fixed . ....kula/vaa/kunywa/ishi ni shida, mfano tunaona hotpot zinavyoingia kariakoo mchana na ma housegirl as if hakuna migahawa/mamantilie au hotel ' nafikiri ni sharti mojawapo kuwa wasile msosi wowote usiopikwa home.

Hawa ndio wanaonyofoa kingo za noti kwa maana wanaoijua wenyewe/ Mshana naomba tafsiri ya hili.

Ushirikina umekithiri sana Tanzania nafikiri hili nalo ni JIPU ambalo linahitaji kutumbuliwa na limekosa mtumbuaji

"MUNGU TUSAIDIE."
 
Kunyofoa kingo za noti ni masharti ya mganga saa nyingine ni kuogopa chuma ulete
 
Vilevile kuna pesa zingine kwa wale dada zangu mnaojiita ma gold digger au Mnapenda kuhongwa si za kuchukua yani maisha yako hutapiga hatua hata siku moja utabaki hivyohivyo mana kinachofanyika anaekuhonga huzirudisha hela zake kwa namna anayoijua yeye na kubeba hata ile akiba yako ulopata sehemu nyingine..ndo usishangae mtu anahongwa mamilioni ila maisha anayoishi afadhali ya jana labda ahongwe hela za sembe au za kukwapua serikalini
 
Back
Top Bottom