KABUGHA
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 351
- 1,004
Hiv mshana mtu atakufaje na koaza kwa siku Saba. HAlaf arud?Ipo hapa hapa nchini ila sikushauri hata maramoja
Hiv mshana mtu atakufaje na koaza kwa siku Saba. HAlaf arud?Ipo hapa hapa nchini ila sikushauri hata maramoja
Nielekeze uganga huu unapopatikana.Ila kamwe hatakubali muonane ndo maana anasingizia safari na changamoto nyingine ni kuwa na watu wengine ndani ya nyumba
Hiyo waweza vumilia ila kukubal kufa mpaka utoe funza ni shughuli zaidkuwa na mwanamke mmoja ndo shughuli
Kama hafi hizo funza hutoka wapi au Kuna jini ndo anazitema?Ni kiini macho na ushirikina kwakuwa katika hali ya kawaida haiwezekani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa
Huu kweli ulimwengu wa viza maiti anatoa funza bado anaongea japo uchawi upo huu umezid kiwangoIla kamwe hatakubali muonane ndo maana anasingizia safari na changamoto nyingine ni kuwa na watu wengine ndani ya nyumba
Akha labda twende PembaWewe twende msata kuna uchawi salama kule beba kaniki moja tuu
Uliahasema umeacha sasa vp wataka uende na mtu na kanga moko??Wewe twende msata kuna uchawi salama kule beba kaniki moja tuu
Mwambie uo mpango uone kesho kama ajarudi kwao wanawake wanataka mteremko siku zote mwanaume ndio aoze hili yeye ale bataMimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa
Mpeleke kanisani...kwann mwende msata sijui kutambika au ndo wewe utamuingizia dawa?? TehMimi nimeacha ni kweli kabisa bali huyo ni mhitaji inabidi asaidiwe
Dada faiza foxy jongea hapa uone mambozi, vituuziii, ayaaaNi aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua