Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Tupatie na ile ya Kuku ana donoa Mahindi....kaka
Ile inapatikana maeeneo ya kalibu sana,
Sema ile inaendana na nyota yako, kama nyota yako mbovu kuku atakudonolea mahindi yako machache mawili, moja au nusu punje.

Punje moja ni mwaka mmoja, nusu punje ni mienzi sita.

Kwa hyo ndani ya Sikh hzo utakuwa tajiri wa kutisha, ila mda ukiisha ndo hvounageuzwa kuwa msukule , na kwenda kufanya kazi kule kwa mganga, au kupigwa bei kwa wahindi. Over
 
Hii kweli ,Mbeya na Songwe,mwalimu mmoja alikuwa singo akafanya yake funza walipoanza kutoka mtoto kapiga yowe majirani wakaja akaondoka moja kwa moja hii ilitokea Tunduma
Sasa hvi hazifanyiwi nyumbani , zinafanyiwa huko huko kwa watalaam ili kulinda rules and regulations
 
Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua

hii ya kidonda nimekuwa nikiona kwa jamaa flani muda mrefu baadae nikaja kuambiwa ndio uchawi wake wa hela. mbona ni mateso makubwa sana sijawahi kumuona jamaa ana raha
 
hii ya kidonda nimekuwa nikiona kwa jamaa flani muda mrefu baadae nikaja kuambiwa ndio uchawi wake wa hela. mbona ni mateso makubwa sana sijawahi kumuona jamaa ana raha
Ila ana hela na ni utajiri[emoji144][emoji144][emoji144]
 
tatizo ni kwamba pesa yake inapanda na kushuka. huwa anafilisika kabisa then kidonda kinaanza kuuma mbaya haendi hospital wala hatumii dawa, kinatoa harufu mbaya, baadae kinapona chenyewe, kikianza kupona pesa inamiminika hatareee
Vitu vingine mateso tupu
 
Back
Top Bottom