OK; siku saba mtu bila kula kitu chochote??? imekaaje hiyo!!! au ni nguvu za giza?Hapana kabisa
sasa hizo hela zinakuwa na maana gani, wakati hufanyi starehe pendwa.Na upo mwingine wa kufanywa hanithi,,kwa muda,yaan ktk mwaka unarudishiwa nguvu zako mara 4 kila miez mitatu mara moja,bas dushe likilegea tu unapiga hela miez yte mitatu fresh kbsa siku ya kupiga mzigo siku hyo hupat hata mia,mpk usubiri tena dushe lilale,,vijana kazi kwenu
Sio kweli kwamba utajiri wa halali haupo. Utajiri/matajiri wa halali wapo ingawa ni wachache. Utajiri wa duniani unamilkiwa na shetani na ukimfuata/ukimsujudia atakupa utajiri kadiri utakavyo mtii. Kumbuka Shetani alimwambia YESU ukinisujudia nitakupa milki/utajiri wote wa duniani. Lakini imeandikwa (kwa wakristo) hagai 2:8 fedha na dhahabu ni mali yangu (Mali ya MUNGU). tena imeandikwa mkitii mtakula mema ya nchi na kipimo chenu kitajazwa (utajiri) na kushindiliwa na kusukwasukwa. Tena imeandikwa utajiri na heshima utajiri udumuo vinatoka kwa BWANA. Ni rahisi sana kujua/ kutofautisha utajiri wa mungu na wa ShetaniHakuna utajiri wa halali
Asante kwa neno la uzima...barikiwa zaidiSio kweli kwamba utajiri wa halali haupo. Utajiri/matajiri wa halali wapo ingawa ni wachache. Utajiri wa duniani unamilkiwa na shetani na ukimfuata/ukimsujudia atakupa utajiri kadiri utakavyo mtii. Kumbuka Shetani alimwambia YESU ukinisujudia nitakupa milki/utajiri wote wa duniani. Lakini imeandikwa (kwa wakristo) hagai 2:8 fedha na dhahabu ni mali yangu (Mali ya MUNGU). tena imeandikwa mkitii mtakula mema ya nchi na kipimo chenu kitajazwa (utajiri) na kushindiliwa na kusukwasukwa. Tena imeandikwa utajiri na heshima utajiri udumuo vinatoka kwa BWANA. Ni rahisi sana kujua/ kutofautisha utajiri wa mungu na wa Shetani
Yapi hayo mkuu?Unaitwa utajiri wa viungo nao una madhara yake
Bia haipandi ngoma nzito hiiHata kwa kutumia bia?
Mimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa
Huwezi kukataa kama ni mke wanguBinafsi ukiniletea hizo habari nakuacha dakika hio hio
Shubamiiiiiit🤣
Huwezi kukataa kama ni mke wangu