Ally humba
Senior Member
- May 31, 2017
- 130
- 115
Vijana haitufai iyo,,sie tunataka pesa tutese na totos ,,sasa abali ya no mchepuko iyo ngumu ,,,ila abali ya kufa na kuoza poa tuu
niliwahi sikia hii kitu iko moro huko vijiji vya ndan ndanMshana hii inapatikana wapi?
loh😁Mimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa
mm mwenyewe natafuta mke wa kuniokotea funza jamaniiNielekeze uganga huu unapopatikana.
Liwalo na liwe kwa Mume wangu.....akifa nitarithi kidogo alichokiacha duniani.
Nikihitaji kuja kwenye hizi mambo upo tayali kunisaidia?serious talkNitakualika twende msata ukauone
Nimewahi kusikia, lkn Duh ni hatari kweli Kweli, shauri yao wanaosaka Utajiri.Ipo hapa hapa nchini ila sikushauri hata maramoja
Wewe twende msata kuna uchawi salama kule beba kaniki moja tuu
Njoo tuungane.mm mwenyewe natafuta mke wa kuniokotea funza jamanii
ilo tuuh usiwaze sema unaeza ficha siri kweli wewee..usije nianikaNjoo tuungane.
Ila wewe ndo utakuwa maiti
Mie naficha siri mpaka utashangaa.ilo tuuh usiwaze sema unaeza ficha siri kweli wewee..usije nianika
na ukubwa wa mwili ule..Hii ipo sana Congo, pepekale alikuwa anakufa na kuoza kabisa wakati huo yuko kuzimu anapewa singo hatari, akifufuka anakuja na album hatari zenye nyimbo kali kama Hidaya,rojamila,espelisa,gigy,shikamoo,mama leki,ndaya,nk huku duniani tunasakata sokous hatari,alikosea masharti akurudi tena duniani,yupo kuzimu anatumbuiza waenda kuzimu uthibitisha hayo kule zinapigwa nyimbo za duniani ukiingia club za kuzimu.
niko ndani tayarii nikaribie nn tena.Mie naficha siri mpaka utashangaa.
Karibu mkuu
Usijaliniko ndani tayarii nikaribie nn tena.
ongea na mshana basi atuoneshe mganga alaf mambo mengin yatafuata...
sema utanivumilia kweli maana mi na nyumba ndogoo
Mbeya na sogweMshana hii inapatikana wapi?
Maeneo ya Mbeya na sogweIpo hapa hapa nchini ila sikushauri hata maramoja