Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

mkuu unataka kufa Nenda mbeya wataalamu watakupeleka kwa mtaalamu malawi huko[emoji23][emoji23] ukishindwa huo waombe wakupeleke zambia uchawi wa kuku kudonoa maindi au kulabwa mwili na chatu na kubadilika kuwa chatu siku tatu tu unakua tajiri usiombe mganga afe ghafla utabaki chatu hivohivo[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hatari lakin salama...kwa jns maisha yalivyo tight now, mshana tarajia kupigiwa simu nyng za watu kutaka kutajirika kupitia huu mtihani wa kufa na kufufuka
 
Hatari lakin salama...kwa jns maisha yalivyo tight now, mshana tarajia kupigiwa simu nyng za watu kutaka kutajirika kupitia huu mtihani wa kufa na kufufuka
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Mshana sasa wewe kwa mtazamo wangu una kitu cha ziada juu ya utajiri....

Wanasayans kila kukicha wanabuni namna ya kusimplfy work ndio maana badala ya kubebe mavitabu mengi sasa ni computer yako tu.

Nawewe cheza vizur karata yako masharti yawe modfied/ usimplfy kidogo ili ikiwezekana hio ya kufa siku saba tuwe tunalipia siku nikifa kweli kweli ila isiwe leo au kesho....

Aysee cheza vizur karata hapo naamini itawezekana tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
Naomba unielekeze huo utajiri ulipo. Vyuma vimekaza
 
Back
Top Bottom