MOI JOHN
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 1,735
- 1,085
HahahahahaMimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa
HahahahahaMimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa
[emoji1] [emoji2] [emoji3] hongera zake maana ana kipaji cha pekeeKumbe na wewe nikama Mimi huyu jamaa anavyoelezea hayo Mambo nikama nikamando hutoa vibari aisee yaani anajua kila nukta ,kila pembe sijui alisomea[emoji15]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mkuki huo mkuuMimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa
Nasikia kuna mmoja wa hivi yuko Tunduma.Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
[emoji1] [emoji1] [emoji1] acha uogaHapana aiseee wacha tubaki na hela ya kubadilisha mboga tu,hii mambo ya short cut sio mazuri
Bora kunguru muoga aiseee[emoji1] [emoji1] [emoji1] acha uoga
Maisha kujaribu ujueBora kunguru muoga aiseee
Ww ushajaribuMaisha kujaribu ujue
Mimi badoWw ushajaribu
Hayo ni masharti aliyopewa kwamba pesa yake itatoka kwa kuibiwamshana jr legendary wa hizi hadithi...... Vipi na ile unakuta tajiri ni mgumu sana kutoa pesa yaan hata kusaidia ndugu ila anaacha mpenyo wa kuchukua pesa// kumuibia lakini hata uibe million mia ufungue miradi lazima itakufa na mwisho wake unaweza kuwa kichaaa...huo upoje mkuu??