Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
Duuh, mshana jr kwa huu mkazo wa anko tutegemee vijana wengi kuchangamkia hii fursa:D:D
 
Naomba nielezee hii ya masharti ya magar.... Yaan hutakiwi kuendesha na kumiliki gar au hutakiwi kupanda magar?
jamaa aliboa sana, Samahani Mkuu.
 
Na unapokuwa umekufa kwa kifo hiki unakuwa wapi mpaka kifo halali cha mapenzi ya Mungu kinakukuta?
ikoivi mkuu, unapokwenda kutafuta utajiri kuna utajiri wa aina2 mkubwa na mdo. huu mdogo ndiohule wakutumia majini. kwamfano chuma ulete, mvuto wabiashara, kufuga majini nakazalika hii unakua umeingia mkataba na Jini/majini. alafu kuna utajiri mkubwa huu unaingia mkataba na shetani moja kwamoja. kumbuka anaetoa utajiri mkubwa dunia yaleo ni shetani. ila katika utajiri huu kuna vipengele tofauti tofauti.kama yule aliepewa sharti yakumwaga damu kila mwisho wamwaka utajiri wake hutakua sawasawa nayule alietoa kiungo chamwili. ikitokea umekufa kwakifo chakawaida huku duniani kule dunia yapili unakwenda kufanya Kazi namateso juuyake. na ikibidi unaweza ukaolewa huko. ukikosea masharti utakufa na mateso yanaji dabo. utaendelea kuteswa hadi siku yamwisho.
 
Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
Hii niliisikia kwenye radio kipiñdi cha ñjia panda long time kidogo jamaa alikweñda kweñye madiñi lakiñi aliçhemka
 
Iyo kitu ipo huko kwa kina mwakifulefule utajiri wa malawi kadiri unavooza na kutoa funza ndio pesa zinajaa magunia kubwakuliko ya kuku kudonoa mahindi usiombe adonoe Hindi moja au Hindi nusu afu ashibe hh un a rest in hell fasta
 
mkuu unataka kufa Nenda mbeya wataalamu watakupeleka kwa mtaalamu malawi huko ukishindwa huo waombe wakupeleke zambia uchawi wa kuku kudonoa maindi au kulabwa mwili na chatu na kubadilika kuwa chatu siku tatu tu unakua tajiri usiombe mganga afe ghafla utabaki chatu hivohivo
 
Back
Top Bottom