ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 4,147
- 2,831
hii imeshamiri kwa wakinga na vijana wengi huku tunduma,ushahidi ninao
Ukoje huo
Una aina nyingi Za masharti, mchukue Jini upeleke kwako, au sehemu yako ya kazi. Inategemea mumekubaliana wapi pa kumuweka ama kwenye Pete au ndani ya chumba ama sehemu Maalum. Jini anakuwa anatimiza lile ambalo ulilihitaji Na mukawekeana masharti. Yanaweza yakawa masharti ya kuweka Pesa ndogo kabisa ya Chenji kwenye sehemu, hii iwe Ni kila siku. Au unaweza kumkabidhi baadhi ya mtoto wako mmoja awe anapunguza damu, au mnyama Kama ngombe au mbuzi.
Kwenye hili la mnyama unaweza kumruhusu kuchukua yeye Mwenyewe au wewe kila kipindi Uwe unachinja. Majini yana tabia ya kukusahaulisha pale ukishafikia kiwango cha utajiri mkubwa. Na Kama unavojua waafrika Ni watu wenye Dharau Sasa kazi huanza hapo.
Heheee na kama yana huwezo Wa kukusaulisha kipi kitakacho kukinga kutofuja hizo masharti kweli? Vv
Waaa hatari sana hadi nashituka.hipo jini hambadiliki tangu siku ya mwazo hadi mwisho.Watu wengi husahaulishwa pale wanapoanza kupindisha masharti, wengi yamewakuta hayo. Mnaweza mkenda vizuri sana miaka 5, mpaka 10. Ukianza Kuleta mazoeya hapo Sasa, Jini Hana mazoeya.
Utapeli umeingia hadi kwa majini ajabu hio! Na babu yako yuko uhai na kama hayuko uyo Jinni wakati babu alifariki alienda wapi?Ila Sasa hivi kupata Jini wa kumtuma ni kazi sana wengi wana njaa, wengi Ni matapeli. Majini sahivi Ni waongo, wakati zamani hicho kitu ilikua hakuna.
Mimi niliwahi kutapeliwa Na Jini, maeneo Fulani lakini sihitaji kuliongelea. Huu Ni ushahidi umenikuta.
Babu yangu alikua Na Jini moja la kazi hili alilitumia mahakamani, hakuna Kesi aliyowahi kushindwa. Ukiwa Na Kesi anainunua, walifanya kazi muda mirefu sana.

Utapeli umeingia hadi kwa majini ajabu hio! Na babu yako yuko uhai na kama hayuko uyo Jinni wakati babu alifariki alienda wapi?
Utapeli umeingia hadi kwa majini ajabu hio! Na babu yako yuko uhai na kama hayuko uyo Jinni wakaIla Sasa hivi kupata Jini wa kumtuma ni kazi sana wengi wana njaa, wengi Ni matapeli. Majini sahivi Ni waongo, wakati zamani hicho kitu ilikua hakuna.
Mimi niliwahi kutapeliwa Na Jini, maeneo Fulani lakini sihitaji kuliongelea. Huu Ni ushahidi umenikuta.
Babu yangu alikua Na Jini moja la kazi hili alilitumia mahakamani, hakuna Kesi aliyowahi kushindwa. Ukiwa Na Kesi anainunua, walifanya kazi muda mirefu sana.
Asante sana mkuu kwa kauli lako ila ukipata wakati jalibu kusimulia hicho kisa chako cha utapeli Wa jinni, wengi hapa tumo mafuzoni kwenu.ULIMWENGU wa majini hauna tofauti sana Na binadamu, hata wao wanaishi Kama dunia inavokwenda.story ndefu sana kuhusu Babu yangu, Na muda mrefu alitangulia Mbele ya haki, Ila aliacha furaha kidogo kuliko majonzi.
Utapeli wa majini Ni mwingi wengi wanatapeliwa kwa kuambiwa fanya hili tutatekeleza hili hawafanyi.
Naunga mkono hojaUtapeli umeingia hadi kwa majini ajabu hio! Na babu yako yuko uhai na kama hayuko uyo Jinni waka
Asante sana mkuu kwa kauli lako ila ukipata wakati jalibu kusimulia hicho kisa chako cha utapeli Wa jinni, wengi hapa tumo mafuzoni kwenu.
Usisahau kunialika huko msata nami nikaongeze ujuzi wa haya mamboNitakualika twende msata ukauone
Nsimulie bas na mimUhiiiii. Nilisikiaga hii story
Uko vizuriBt wanawake si watunza siri.ndio maana siku hiz wanaamua wafanye ule wa kudonoa mahindi;
Nikusimulie nini tena?Nsimulie bas na mim
Ukitembea mikoa ya watu unakutana na mengi.Uko vizuri
Jinsi yanavyokuwaNikusimulie nini tena?