Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua


Kaka leta contacts, mkulu kabana sana!
 
Mi ninao utajiri wa namna hii,yaani unakuwa hujafa unakuwa mahala fulani na warembo wewe ni kunywa na kudinyana hadi siku 7
 
Kaka mshana jr huwa unanipa shida sana kukujua upeo wako inamaana haya Mambo ulisomea au make Freemason unajua wachawi au ushirikina unajua huku kwetu makanisani unajua kwakweli huwa napata shida sana kukujua nimtu wa hainagani mkuu
 
Kumbe na wewe nikama Mimi huyu jamaa anavyoelezea hayo Mambo nikama nikamando hutoa vibari aisee yaani anajua kila nukta ,kila pembe sijui alisomea[emoji15]
[emoji15] [emoji2] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Hii ndio naisikia leo, ya punje za mahindi naisikiaga Mhuuu umaskini mbaya sana lakini kwa masharti haya acha nisote mpaka nakufa bila kuendesha hata ka vitz.
 
Back
Top Bottom