Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,369
- 30,009
Daah ntakuja unipe ujuzi wa kuyajua hayoUkitembea mikoa ya watu unakutana na mengi.
Daah ntakuja unipe ujuzi wa kuyajua hayoUkitembea mikoa ya watu unakutana na mengi.
Mkuu hebu ongezea Nyama unaweza kuwafunza wengi humuIla Sasa hivi kupata Jini wa kumtuma ni kazi sana wengi wana njaa, wengi Ni matapeli. Majini sahivi Ni waongo, wakati zamani hicho kitu ilikua hakuna.
Mimi niliwahi kutapeliwa Na Jini, maeneo Fulani lakini sihitaji kuliongelea. Huu Ni ushahidi umenikuta.
Babu yangu alikua Na Jini moja la kazi hili alilitumia mahakamani, hakuna Kesi aliyowahi kushindwa. Ukiwa Na Kesi anainunua, walifanya kazi muda mirefu sana.
Watu wanasaka Pesa wacha kabisakuna wengine wanatumia wa nyuki, au kulala ktk kaburi na maiti inatoka munanyang'anyana nguo na maiti then ukishinda unamwambia kama unataka nguo zako nenda kanitafutie mil.400 halafu nitakupa nguo zako ,maiti inazisaka pesa ,then inakuletea ,akifika unamwambia hizi hazitoshi kalete mil.500 ndivyo unavyotajirika hivyo.mwisho wa siku ukiona mambo yako yapo super unampa sanda yake katikati ya watu mchana kweupeeeee mbele za watu,.. hii kitu ipo kati ya congo,malawi.
inapatikana sehemu inaitwa ngende,hicho kijiji ni maarufu sana kipo lindi kimewapa utajiri mkubwa watu wengi sana,pia viongozi wengi wa serikali hawapitei huko mfano kiongozi mwandamizi wa magazeti,redio na televisheni aliyewahi kuwa muuza maneno wao ambae alipata divisheni foo ya 27 inaesemekana hamjui baba ake ingawa anatumia jina lake.Nae ni mdau mkubwa tu wa kutembelea kijiji hicho.umaarufu wake ulianza kuwa mkubwa baada ya kupata baraka zote kutoka kijijini hapo........masharti yake ndo shida sasa unaeza uka ambiwa usinye chooni maisha yako yote....Mshana hii inapatikana wapi?
Mkuu afta kukatwakatwa inakuwaje tena au ndiyo mwisho wa maisha???Hizo dawa zipo sana Mkoa wa kigoma kuna sehemu wanapaita Kalemi ili ufike Kalemi ni lazima uvuke ziwa tanganyika na ni maeneo ya mkani kabisa na Mkoa wa Kigoma kama unaelekea DRC.Hizi dawa zipo za aina mbili a/unaoza mwili mzima kwa siku 7 b/Ya pili ni kwamba unakatwa katwa vipande katika mwili wako then vinachemshwa kwa siku tatu katika pipa maalum.Nilishuhudunia kwa rafiki yangu aisee sikutamani kurudi DRC.
Wewe kweli mkwepa kodi unaogopa ninikufa weweMimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa
Duuuuu http://kuna wengine wanatumia wa nyuki, au kulala ktk kaburi na maiti inatoka munanyang'anyana nguo na maiti then ukishinda unamwambia kama unataka nguo zako nenda kanitafutie mil.400 halafu nitakupa nguo zako ,maiti inazisaka pesa ,then inakuletea ,akifika unamwambia hizi hazitoshi kalete mil.500 ndivyo unavyotajirika hivyo.mwisho wa siku ukiona mambo yako yapo super unampa sanda yake katikati ya watu mchana kweupeeeee mbele za watu,.. hii kitu ipo kati ya congo,malawi.
sana mkuu tena ni hatariiWatu wanasaka Pesa wacha kabisa
Aisee unajua kuna watu hawawazi ya mbinguni, wao wanachoangalia ni kimoja tuu! pesa! Ipatikane kwa means zozote zileSasa mkuu hio pesa Ina maana Gani kama utafanya ivyo hii Ni dunia kila kitu tutakiacha na huko unapoenda utakwenda kujibu nini mbele za mwenyezi mungu hizo Ni tamaa ambazo hazina maana