Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

Wapemba nao ni hatari ushuhuda wao niliupata kwa rafiki yangu mpemba lakini wao wanatumia zaidi majini na mapepo


Na wewe ni hatari maana unatembea mpaka na vinyago vya madogoli mikobani.!

Kuwa muwazi mjomba ngomani umo.hizi mada zote unaishi nazo na una uhakika.unazuga flani tu hapa.! Huununui weye unauza na kugawa bure kama unavyofanya siku hizi.!
 
Wakinga na wapemba ina wahusu sana hii mada na hata ndugu zangu wamakonde hakuna tajiri hata mmoja wa kimakonde ambae utajiri wake ni wa halali wote ni wa ngende!

Na kwenu wapo na mmoja wapo ni wewe.!
 

Hiyo tena ni utumwa usioelezeka. Hela za nini kama huwezi kula vizuri, kuvaa vizuri au kujenga nyumba nzuri. Lisemwalo lipo, niliwahi kuijua familia moja ambayo hela kwao sio tatizo lakini ukibahatika kuwa kwao wakati wa mlo utashangaa wanafokula vyakula visivyofanana na uwezo walionao. Wanyetishaji wakasema eti wamepewa masharti... sheet, hizo hela ni za kutunisha A/C halafu basi!
 

kwanini usijibu hoja kwa hoja badala ya kufanya attack za namna hii? Huu mjadala ni mzuri sana usiuharibu kwa kashfa, BTW ukimuona Nicholas msalimie
 
Last edited by a moderator:
kwanini usijibu hoja kwa hoja badala ya kufanya attack za namna hii? Huu mjadala ni mzuri sana usiuharibu kwa kashfa, BTW ukimuona Nicholas msalimie

Do i kno you ??

Nicholas ndio shemej yake nani ??

Kashfa kazianzisha nani ??

Tha arguement was already concluded by Brother mshana jr don't try to dig things out all over again. Kama huna cha kuchangia pita kando.
 
Last edited by a moderator:
Na kwenye haya masharti kuna
-ya kulala na mamaako/babaako/mwanao
-kulala na mtoto mdogo/mchanga.ndio maana kuna habari nyingi sana za watu kubaka vitoto vidogo kabisa tena vingine vya miezi tuu

Na wengine kuwaingilia MBWA!!
 

Sio kwamba sijalewa kinachoongelewa hapa.
Hoja yangu ni hii, kuna ushahidi wa ushirikina huo? What I know kuna watu wana jadi ya kushinda njaa ilhali wa pesa ya matumizi, ila wanajibana ili kutimiza lengo flani la utajiri. Ndio hao ambao mnawafanyia dhihaka na LABELLING kwamba ni washirikina!
 

Hujawahi ona au sikia wachawi wanaanguka na Ungo mpaka kwenye vyombo vya habari wanaonyeshwa live ??

Mara ngapi tunasikia watu wanashikwa wakioga uchi njia panda na kufanya mambo ya ajabu ??

Fungua duka uswazi uone chuma ulete itakavyo kurudisha nyuma ki maendeleo. Uone kama utauza ww. Watu wanakodishiwa frame ya duka wanalipa kodi ya mwaka, baada miezi mi 3 mtu hana hamu na eneo husika.

Watu wanavunja sanaa nazi na mayai njia panda. Tembea uone, Piga hadithi na watu uambiwe.

Vibweka ni vingi tu, Vingine vinatisha.
 


Hahaha si ajabu hata hizi ela wanazohonga kwenye kampeni wanatoa kwa njia za kishirikina
 
Idimi kushinda njaa hakuleti utajiri kuna factors nyingi sana mpaka mtu apate utajiri lakini vile vile tu nazungumzia utajiri katika level gani? Ya kaya?kijiji? Kata? Wilaya? Mkoa? Taifa nk ?
Usitafute utajiri kwa njia hiyo ya kuumiza na kuutesa mwili ukiupata baada ya kuenjoy utaanza kujitibia. ..what a waste...!!!
 
Last edited by a moderator:
And ancestral spirits aka miungu ya asili.

My dear ukweli utakuweka huru, in as much as what you call mila inaleta 'desired results' in case of magonjwa au mafanikio bado ni USHIRIKINA tu. Na msipoacha mtakufa if you know what I mean.

Kuna binadamu atakayeishi milele??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…