Alieyaleta ni Mwakyembe na akasema ushahidi anao, mwembe yanga ilikuwa ni kuwaambia wananchi yanayojiri ndani ya ccm.Ya lowassa yaliletwa na chadema pale mwembeyanga, muulize Mbowe na tundu lissu watakwambia.
Alieyaleta ni Mwakyembe na akasema ushahidi anao, mwembe yanga ilikuwa ni kuwaambia wananchi yanayojiri ndani ya ccm.Ya lowassa yaliletwa na chadema pale mwembeyanga, muulize Mbowe na tundu lissu watakwambia.
Eti???Bush lawyer, huwa hatubahatishi, muulize Ombeni Sefue atakwmbia sisi ni nani.
Mbona unapunic? Usichoelewa ni nini? Kiingereza hujui, unasingizia lugha ya kigeni kumbe na kiswahili hujui? BAsi ngoja nikuandikie kimatumbi maana halisi ya unachohoji:-
Sosipae kupepa, abamchwewa simmatini kumbaliwane, isikisi 100%? Tobeanti sikiati 80%? 60%? 40%? nadi 20%? Billioni 100 sangasawela palimbwe?
Najua sasa umeelewa!.
Hiyo statement kama umemnukuu Kikwete inabidi kutafuta ukweli zaidiKuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete
Kazana kusoma tu utakula vizuri.Du ebwana watu wanapesa cjui nami ntafikia level hzo
Billionea Dau hawezi kushindwa kulipa hiyo bill ya umeme.hiyo bili ya umeme nani analipa?
Yaani mheshimiwa Kikwete ana upeo mkubwa maana kuna baadhi ya watu kwa uongo tu wana Phd japo waliishia darasa la 6B.Kuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete
Kwa hiyo Dr.Dau ni ownership wa Newcastle?Share (hisa) is a unit of ownership.
Punguani huyo alikuwa anamsifia na kumtetea Kikwete kwa sababu ya imani yake. Sasa hivi utendaji kazi wake unavyoachwa uchi kakosa la kusema kakimbilia kumtetea muumini mwenzakeDau ana daraja?
Ni gazeti LA kiuchunguzi ndo maanaIvi hili gazeti la Dira halinaga habari zaidi ya Dr. DAU?
Udaku sababu kasemwa muumini? Lilipoandika habari za Ombeni Sefue mbona povu halikuwatoka au kwa sababu siyo muumini? Mtake msitake jizi ni jizi tu, awe mkristu awe muislamu. Tumieni akili kidogo mbona wale wenzenu alipotajwa Lowassa kuwa fisadi hawakumtetea kwa sababu ni muumini mwenzao? Hapo ndipo kwenye tofauti mnapopigwa baonchi haiendeshwi kwa magazeti ya udaku
Mkuu nadhani wengine wamejibu vizur kuwa ni muendelezo wa habari za kiuchunguzi walizoaanza nazo....thats great!Kama ni kweli inakuuma nn?kama wanamchafua ntakuelewa
I do understand mkuu,sielewagi kwann mtu asiandikweMkuu nadhani wengine wamejibu vizur kuwa ni muendelezo wa habari za kiuchunguzi walizoaanza nazo....thats great!
Kwa sababu tuhuma zimeelekezwa kwa alhaj?Jamii forum imekuwa genge la kuchafua image za watu na inakoelekea itakuwa kama ji forum ya udaku tuh
Wewe Si ndo mutoto ya naniliu, endelea Kula mema ya dunia ndugu yangu hakuna shida, acha sisi tuteseke mwanzo mwishoKwa hiyo Dr.Dau ni ownership wa Newcastle?
Unajua niliskia skia kuwa hata Mh Lowasa na Mh Mbowe nao ni washabiki wakubwa sana wa Newcastle...!hebu tuunganishe Dots unajua kunawezakana kuna kamchezo tunachezewa hapaa...
Teh teh teh...
Na wala sita shangaa hata kidogo,na zipo tetesi nasema ni tetesi kuwa ana makazi yake huko UK na familia yake muda mwingi iko huko,na kwa misafara isiyo isha ya kwenda huko kuna mwelekeo wa ukweli ktk jambo moja wapo.Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100 Bilioni.
- Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.
- Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.
Chanzo: Dira ya Mtanzania - 18 Aprili 2016