Utajiri wa Dr. Dau unashtua

UWONGO MWENGINE HATA AKILINI HAUNGII, KAMA HIYO NEW CASTLE NI ILE TIMU YA KUTOKA KWENU MWANZA SAWA.
OHHHHHH KKKKKK DARAJA LA KIGAMBONIII LIMEFUNGULIWA NA MUHESHIMIWA BALOZ DAU NDIE STAA WA SHOW HIYO NDIO HABARI YA MJINI.
 
Cc:zzk ujitathmini tena kwa kauli zako za kumtetea huyo dau


kwani ameshachunguzwa na kusibitika kwamba ni fisadi? ni kipi kinachokupa uhakika hayo yote yana ukweli? ingekuwa ni kuongea basi hata mkuu wa nchi hakufaa kuwa pale alipo mana anakashfa kibao ila bado anaonekana ni msafi.
 
Duh Hili Daraja la Dau kufunguliwa limewaletea shida kubwa sana wasiompenda Dr.

Eti mmiliki wa New castle, Sasa anafanya nini uchwarani, si angeenda zake akale samaki kwa ice cream
Tumbo hali tosheki hadi unaingia ardhini.
 
Wee Mmakonde, Dau ana hisa hata ikiwa moja na si kwamba anamiliki kwa 100%!!!

Mkuu Ileje...

Hapo uliponiita Mmakonde nimependa sana..!

Umenitendea haki sana..

I am telling you..Dr Dau Mnamsakama bure tuh..

Haifai
 
kwani ameshachunguzwa na kusibitika kwamba ni fisadi? ni kipi kinachokupa uhakika hayo yote yana ukweli? ingekuwa ni kuongea basi hata mkuu wa nchi hakufaa kuwa pale alipo mana anakashfa kibao ila bado anaonekana ni msafi.
Subira ya vuta heri.
 
Alieyaleta ni Mwakyembe na akasema ushahidi anao, mwembe yanga ilikuwa ni kuwaambia wananchi yanayojiri ndani ya ccm.
Na ushahidi aliosema tundu lissu aliupata wapi?? Na lile povu walilokuwa wanatoka kina mbowe na timu yake kwa miaka 8 kuwaambia wananchi lowassa ni fisadi walilitoa wapi? Au unanithibitishia kiwa uongozi wa chadema haujui unachofanya zaidi ya kudandia ishu za watu?
P.s: mwakyembe alishasema ana ushahidi na Slaa alisoma baadhi ya vipengere vya huo ushahidi.
 
Mkuu kama unazijua hisa za Dr.Dau si uziweke siyo kuja na maneno matupu.
 
Watetezi Wa dau ni wengi sana sijui wanachokitetea kwa MTU mmoja kama dau wakati kuna taasisi zao zinaitaji utetezi pia kama watanzania tunataka Tanzania iwe safi kwa nini tutetehe uchafu Dau apelekwe mahakamani ukweli ujulikane Tanzania ni ya watanzania kuna watanzania wamekufa bila mafao yao nssf kwa sababu ya viongozi wakati Na wapenda sifa sasa kama dau ni mmoja wapo apelekwe mahakamani
 

ha ha asante kwa kuninasua

hivi haya magazeti na mavichwa makubwa kama hayo.....hayaogopi??
 
Dau ana hisa nyingi katika timu ya mpira ya Uingerezaya Newcastle

Hili kaliwezi kuwa kweli, Newcastle inamilikiwa asilimia 100%,na Mike Ashley.

Kinachotokea ni kuwa kuna watu, kwa makusudi, wanachanganya ukweli na uongo, ili kusafishana.
 
Kwa hiyo Dr.Dau ni ownership wa Newcastle?
Soma uelewe nilichoandika, sijasema Dr. Dau ni ownership wa Newcastle, huu ndo upuuzi gani umeandika?? Dr. Dau ni ownership???
Anyway, Kama ni habari za kweli ana hisa kadhaa basi na yeye ni mmoja wa wamiliki.
 
Mwkyembe alisema ila alietuhumiwa kakanusha na kasema apelekwe mahakamani, kgugumizi cha nini kumpeleka huko? Mbona muhando alipelekwa mahakamani na mahakama ime amua? Lisu na wengine wengi tulitoa povu hata kwa suala la muhando kwa kuwa Tanesco ina tuhusu wengi ila baada ya mahkama kumuona hana hatia tumeridhika kuwa ni mtu safi.. haya nendeni mahakamani kwa suala la Lowasa.
 
Hizo ni inferiority complex zako, wanaodai kila siku kuna mfumo kristu, Kuna upendeleo baraza la mitihani, nafasi za uongozi zinatolewa kwa upendeleo unawajua, angalia idadi ya viongozi kwa maana ya wabunge, mawaziri, ma RC na mamlaka DC utajua wengi ni wepi, lakini cha kujiuliza ni kwa nini wako wengi huko? Mifumo sahihi ya elimu, muulize mzee Mohammed Said kasomea wapi?

Chuki mnatengeneza za kufikirika, hakuna anayewachukia waislam wasingesoma na wakaruhusiwa shule za mission, mhalifu ni mhalifu tu hana dini bwana. Akina Lowassa, Tibaijuka, Chenge na wengineo wametuhumiwa kwa rushwa, ufisadi na ubadhirifu umewahi kuwaona wenye imani moja na wao wakitokwa mapovu kuwatetea? Hapo ndipo kuna tofauti ya wao na nyinyi.

Kama umesoma basi huitendei haki elimu yakoyako Kuna zaidi ya dini katika maisha tunayoishi tukichangamana jamii zenye imani tofauti
 
Mimi nina mashaka na ukweli wa hii taarifa kutokana na haya madai kuwa "Kampuni yake pekee ndiyo inapewa tenda ya miradi ya NSSF".

Hivi hata daraja la Kigamboni lilijengwa na kampuni ya Dau?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…