Ukioa mwanamke wa kichaga unaheshimika sana mtaani

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,992
i hope wazima wana Jamii forum

Hivi kuna siri gani na nguvu ipi kwa wanawake wakichaga. kwanza ni wazuri wanajua kutafuta na washauri wazuri kwenye familia, na ni walezi wazuri kwa familia ukitaka familia yako iwe smart muoe mwanamke wa kichaga.

Familia nyingi za kichaga zimejijenga vizuri kiuchumi utakapo muoa mwanamke wa kichaga yale mambo ya ndugu wa mwanamke kujaa kwako hayatakuwepo..kila mtu yupo na familia yake kutembeleana ni mwisho wa mwaka mwezi 12

Bro ukitaka kuheshimika mtaani muoe mwanamke kichaga mtaa mzima utatembea kifua mbele utapokea sifa za kila aina.Usiseme sijakwambia

Ukiwa fala uwezi kuoa mwanamke wa kichaga utampa nini au unataka kuleta laana za umasikini kwenye ukoo wao....
Acheni kuoa hao wacheza baikoko wapenda starehe mwanamke ana ata malengo


Wanawake wa kichaga muwe na uck mwema nyie wengine lolote liwakute😁
 
Wanawake wa kichaga hawajawahi kubadilika miaka nenda miaka rudi... mama akiwa mchaga lazima nidhamu iwepo kwenye familia.... watata hatari

Mfano kwa sisi machalii wa Arachuga ambao kwa ukubwa kuna jamii za
  • Wachaga
  • Warangi
  • Wapare
  • Waarusha
  • Wameru

Ukiangalia kwa kiasi kikubwa na kuchunguza, ni nadra sana kukutana na wahuni machalii wa Arusha ambao ni wachaga, na hii ni credit kwa mama zetu wa kichaga.

Machalii wote wa Arusha wana same background ila kilichowazamisha wengi ni kulelewa kwenye familia za wazazi ambao hawana ukali kwenye malezi na hii utaikuta sana kwa familia kutoka kwenye makabila ya warangi, waarusha, wameru.

Ndo maana ni muhimu sana kuangalia una muoa nani na kabila gani.

Na wamama wakichaga wamewekeza sana kwenye maendeleo ya watoto wao, hususani elimu na maadili, ndo maana imekuwa ngumu watoto wengi wa kichaga kuharibikiwa... na hapa nazungumzia kwa upande wa Arusha..
 
Sema na ww kama sio mchaga kumpata mwanamke wakichaga lazima uwe na kitu, ukiwa boyaboya huwezi oa mchaga!
Mhh, wewe utakuwa Mtu wa kanda ya ziwa au Mbeya

Wachagga wameolewa sanaa na watu wa makabila ya kaskazini mpaka Manyara huko na hawana shida...wamezaa watoto wanasonga mbele

Watu wengi wa kanda hizo wana perception mbovu kwa Wachagga
 
haya mambo sijawahi kuyaelewa, yaani kwasababu wewe umeoa mchaga na ndoa yako imetulia basi wanawake wote wa kichaga ni wazuri....

ni ukabila tu

nilishangaa sana siku moja niko na babamkubwa akaniambia eti nisije kuoa wambulu eti kisa ni 'malaya'.... tusipende kujumuisha mambo kulingana na uzoefu binafsi, dunia haina mpangilio.... sio kivile
 
Mhh, wewe utakuwa Mtu wa kanda ya ziwa au Mbeya

Wachagga weolewa sanaa na watu wa makabila ya kaskazini mpaka Manyara huko na hawana shida...wamezaa watoto wanasonga mbele

Watu wengi wa kanda hizo wana perception mbovu kwa Wachagga
Nchi...hii inamakabila mengi na ndoa zinafungwa kila siku.... sio wachaga tu ndo wanao olewa.

Acheni kuleta ukabila kwenye mambo ya ndoa.

Kuoa mchaga au mnyaturu ni hulka na mapenzi ya mtu
 
Pamoja me ni mchaga ila sijawahi elewa pisi za kichaga na ni ndoa chache unakuta wameoana wao kwa wao mana sisi tuna tunisha misuli tukikutana.

Hakuna anayemkubali mwenzake na vile men kwa mapenz ni 0 bc dah ...
Kuna wakinga mkuu na wahehe umesahau kwa list nawakubal sana.
 
i hope wazima wana jamii forum

hivi kuna siri gani na nguvu ipi kwa wanawake wakichaga. kwanza ni wazuri wanajua kutafuta na washauri wazuri kwenye familia, na ni walezi wazuri kwa familia ukitaka familia yako iwe smart muoe mwanamke wa kichaga.

familia nyingi za kichaga zimejijenga vizuri kiuchumi utakapo muoa mwanamke wa kichaga yale mambo ya ndugu wa mwanamke kujaa kwako hayatakuwepo..kila mtu yupo na familia yake kutembeleana ni mwisho wa mwaka mwezi 12

Bro ukitaka kuheshimika mtaani muoe mwanamke kichaga mtaa mzima utatembea kifua mbele utapokea sifa za kila aina.Usiseme sijakwambia

Ukiwa fala uwezi kuoa mwanamke wa kichaga utampa nini au unataka kuleta laana za umasikini kwenye ukoo wao....
Acheni kuoa hao wacheza baikoko wapenda starehe mwanamke ana ata malengo


wanawake wa kichaga muwe na uck mwema nyie wengine lolote liwakute😁
Sio wote inategemea na tabia/personality ya huyo mke wengine hapana aisee bora muhaya au mu iraq wa manyara..
 
Back
Top Bottom